Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Dakika chache tu nilizomtazama kwenye hii game ya yanga Vs Mbeya city leo naishia kusema huyu mwamba Yanga wamelamba dume ukitoa usharobaro wake lakini yuko vizuri aswaa,
Kila pasi inafika kwa muhusika na kila krosi anayopiga lazima iwe ya hatari.
Kona kali kabisa iliyopigwa kutoka kwake ndio kona pekee iliyopelekea ushindi kwa yanga,
Kongole kwake CARHINHO Sharobaro wa Yanga SC
Long live Young African, long live all fans wa young African