Carhinho ni moto wa kuotea mbali

Carhinho ni moto wa kuotea mbali

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Dakika chache tu nilizomtazama kwenye hii game ya yanga Vs Mbeya city leo naishia kusema huyu mwamba Yanga wamelamba dume ukitoa usharobaro wake lakini yuko vizuri aswaa,

Kila pasi inafika kwa muhusika na kila krosi anayopiga lazima iwe ya hatari.

Kona kali kabisa iliyopigwa kutoka kwake ndio kona pekee iliyopelekea ushindi kwa yanga,

Kongole kwake CARHINHO Sharobaro wa Yanga SC

Long live Young African, long live all fans wa young African
 
Aiseee kumbe
umeona ehh?
 
Carhinho ni mzuri mtamu wa krosi dakika chache tu alizoingia zimeonyesha ubora wake lakini pale kati palikuwa pamepwaya coz fei toto alitoka Ila tatizo la uyu mrembo shida yake kubwa hawezi kukabwa anataka mipira atengewe mezani alafu ndio ale na ndio mana kocha hawezi kumwingiza kipindi cha kwanza coz watu wanakuwa kanye mashambulizi ya hatari that's y uyo mrembo ngumu kuingizwa kipindi cha kwnza
 
Back
Top Bottom