Madrid ina kila sababu ya kumtema Carlo sasa, Carlo anahistoria ya kushindwa kudeliver kadri muda anavyokwenda angalia kote alikopita kila msimu anapunguza idadi ya makombe anayoshnda
Pili, Carlo hana ubabe fulani ambao ni kitu cha muhimu unapokua kocha wa timu kama Madrid tumesikia vimbwanga kadhaa vikitokea chini ya uongozi wa Carlo kifupi discipline ya timu ilikua inashuka chini ya uongozi wake, so kuvuliwa wadhifa kama kocha sio sababu ya kukosa makombe tu ila pia kuna mambo kama hayo yamechangia. Kila la kheri kwake. iHala Madrid