Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Kocha wa Madrid atimuliwa kwenye nafasi yake ya ukocha kwa kukosa ubingwa wowote musimu huu
 
ila jamaa namkubali sana.

Wenger angekuwa na roho nzuri angetupisha aje huyu jamaa.
 
Madrid pale ukikoaa tu kombe basi unatimuliwa, chakushangaza bado makocha wanapapenda sana
 
sio habari ya kushangaza kwa madrid hata mwenyewe alikuwa anajua hilo
 
Real Madrid
 

Attachments

  • 1432585961259.jpg
    1432585961259.jpg
    35.9 KB · Views: 931
Ni wakati mzuri sasa arudi AC Milani akaifufue timu yetu,maana dah tumepotea muda mrefu sana jamani.
 
Habari njema hii. Madrid hatujazoea mambo yakuondoka kapa msimu Mzima. Ukishindwa kudeliver unatemwa hii inawafanya mamanager wawe under pressure na kufanya kila wawezalo kushinda

Benitez au Klopp ndio next coach
 
Angejua angebakigi tu PSG

Watu wanaendaga kutimiza ndoto zao pale, ni makocha wachache sana wanaoweza kukataa ofa ya kufundisha Madrid, alikuwepo SAF na aliyebaki labda Wenga, so Ancelloti hawez kujutia kwa hilo
 
Habari njema hii. Madrid hatujazoea mambo yakuondoka kapa msimu Mzima. Ukishindwa kudeliver unatemwa hii inawafanya mamanager wawe under pressure na kufanya kila wawezalo kushinda

Benitez au Klopp ndio next coach

perez kasema kocha ajae itafaa awe anajua kihispania, so hapo kwa kloop cancel
 
Ni wakati mzuri sasa arudi AC Milani akaifufue timu yetu,maana dah tumepotea muda mrefu sana jamani.

mkuu mbona huwa sikuoni kule ukimsaidia Gang chomba?? wakatalunia wamemuandama vbaya!
 
hawa nao hawana shukrani mwaka jana kawapa taji la 10 la uefa wameshasahau .wenzao baka walitoka emty set mwka jana
 
Madrid ina kila sababu ya kumtema Carlo sasa, Carlo anahistoria ya kushindwa kudeliver kadri muda anavyokwenda angalia kote alikopita kila msimu anapunguza idadi ya makombe anayoshnda

Pili, Carlo hana ubabe fulani ambao ni kitu cha muhimu unapokua kocha wa timu kama Madrid tumesikia vimbwanga kadhaa vikitokea chini ya uongozi wa Carlo kifupi discipline ya timu ilikua inashuka chini ya uongozi wake, so kuvuliwa wadhifa kama kocha sio sababu ya kukosa makombe tu ila pia kuna mambo kama hayo yamechangia. Kila la kheri kwake. iHala Madrid
 
Back
Top Bottom