Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Kocha wa Madrid atimuliwa kwenye nafasi yake ya ukocha kwa kukosa ubingwa wowote musimu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angejua angebakigi tu PSG
Hivi kuna kocha mwanamke anayefundisha mpira wa miguu?
Angejua angebakigi tu PSG
Habari njema hii. Madrid hatujazoea mambo yakuondoka kapa msimu Mzima. Ukishindwa kudeliver unatemwa hii inawafanya mamanager wawe under pressure na kufanya kila wawezalo kushinda
Benitez au Klopp ndio next coach
Ni wakati mzuri sasa arudi AC Milani akaifufue timu yetu,maana dah tumepotea muda mrefu sana jamani.
Madrid pale ukikoaa tu kombe basi unatimuliwa, chakushangaza bado makocha wanapapenda sana