Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Pep gurdiola ndo next coach hutaki unaacha
 
Bora Madrid,wengine wanapigwa sita na Stoke hatusikii chochote
 
Real hawanaga longolongo wanataka makombe tuuu....Mourinho angalau alipata kakombe lkn bado wakasema hawamtaki
 
mkuu mbona huwa sikuoni kule ukimsaidia Gang chomba?? wakatalunia wamemuandama vbaya!

Huyu Jamaa nilimuona kwenye thread flan wakisema Gaucho ni mzuri kulicho mchezaji yoyote yule dunian, akina Maradona, Pele wote hawaoni ndani.
Wakawaita hawa akina Messi na Ronaldo ni ushuzi tuu, si unajua maneno ya akina Gang Chomba. Sasa jamaa sikujua kama ni shabiki wa Milan, nimecheka sana.
Kwangu ilikuwa Gaucho hata Zidane hamfikii labda kwa kucheza na jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Mourinhho aliambiwa hivi "this club is too huge for you " 😆😆
 
Madrid ina kila sababu ya kumtema Carlo sasa, Carlo anahistoria ya kushindwa kudeliver kadri muda anavyokwenda angalia kote alikopita kila msimu anapunguza idadi ya makombe anayoshnda

Pili, Carlo hana ubabe fulani ambao ni kitu cha muhimu unapokua kocha wa timu kama Madrid tumesikia vimbwanga kadhaa vikitokea chini ya uongozi wa Carlo kifupi discipline ya timu ilikua inashuka chini ya uongozi wake, so kuvuliwa wadhifa kama kocha sio sababu ya kukosa makombe tu ila pia kuna mambo kama hayo yamechangia. Kila la kheri kwake. iHala Madrid

Nijuavyo mimi ni kwamba kuja kwa Carlo discpline imezidi kwa wachezaji na hata wale wahuni akina Khedira, Arbeloa, Pepe n.k walikuwa wakisugua benchi. Ramos alikuwa mapepe sana kipindi cha Jose Mourinho ila na yeye kawa mpole. Carlo aliituliza timu kuwa na nidhamu ya hali ya juu, zile fujo fujo hazikuwepo tena kabisa.
 
Nijuavyo mimi ni kwamba kuja kwa Carlo discpline imezidi kwa wachezaji na hata wale wahuni akina Khedira, Arbeloa, Pepe n.k walikuwa wakisugua benchi. Ramos alikuwa mapepe sana kipindi cha Jose Mourinho ila na yeye kawa mpole. Carlo aliituliza timu kuwa na nidhamu ya hali ya juu, zile fujo fujo hazikuwepo tena kabisa.

Mkuu angalia source zako vizuri, Arbeloa, Pepe, na Khedira kusugua benchi haikuwa sababu za kinidhamu ila walishuka kiwango na hata sasa wanaweza kuondoka khedira majeraha pia yamechangia. Ramos ni mtukutu siku zote ila bado anacheza maana kiwango bado kipo lakini hajaacha utukutu.

Iko wazi kwamba Carlo ni mpole wenyewe wanamuita The Gentleman sababu kila kitu anachukulia poa. Wachezaji wananuniana hadi kufikia hatua ya kunyimana pass uwanjani Carlo anaacha tu, timu inafungwa usiku watu wanafanya party kwake sawa tu na mambo mengine kibao. Ilikua ni muda sasa aende
 
Kuwa kocha wa Madrid ina ujiko wake...
Mwaka jana kachukua nao UEFA champions ligue,mwaka huu wamemtema,PEREZ anaangalia faida kila mwaka,haangalii kama nyuma ulileta mafanikio,yeye ni now na kesho
 
Bora Madrid,wengine wanapigwa sita na Stoke hatusikii chochote

Mkuu kuwa na heshima basi..! Uzi huu unahusu Real Madrid sasa wewe kutukumbushia machungu ndo nini..? By the way tunamtimua Rodgers nae.. Liverpool ni kubwa sana kwake..
 
si haba kakini carlo amejiwekea historia ya kuja an kombe ucl pale madrid angalin'gan'ganie psg asingalilipata hilo kombe la ucl mii naona hata anfield wamchukue bora yeye kuliko BR
 
Real Madrid ni timu ambayo mafanikio kwanza, mengine yanafuata kama Simba Sc yangu.. Hivyo ukizingua tu, lazima uoneshe mlango wa kutokea.
 
mkuu mbona huwa sikuoni kule ukimsaidia Gang chomba?? wakatalunia wamemuandama vbaya!

Teh teh teh,Mkuu nipo nae kule kwenye uzi wa Mtume na Nabii wa Mwisho kwenye Soka St Gaucho,maana kuna watu hawajui mpira bali wanamfahami Messi tulikuwa tunawashugulikia.
 
Back
Top Bottom