Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati mzuri sasa arudi AC Milani akaifufue timu yetu,maana dah tumepotea muda mrefu sana jamani.
mkuu mbona huwa sikuoni kule ukimsaidia Gang chomba?? wakatalunia wamemuandama vbaya!
Madrid ina kila sababu ya kumtema Carlo sasa, Carlo anahistoria ya kushindwa kudeliver kadri muda anavyokwenda angalia kote alikopita kila msimu anapunguza idadi ya makombe anayoshnda
Pili, Carlo hana ubabe fulani ambao ni kitu cha muhimu unapokua kocha wa timu kama Madrid tumesikia vimbwanga kadhaa vikitokea chini ya uongozi wa Carlo kifupi discipline ya timu ilikua inashuka chini ya uongozi wake, so kuvuliwa wadhifa kama kocha sio sababu ya kukosa makombe tu ila pia kuna mambo kama hayo yamechangia. Kila la kheri kwake. iHala Madrid
Nijuavyo mimi ni kwamba kuja kwa Carlo discpline imezidi kwa wachezaji na hata wale wahuni akina Khedira, Arbeloa, Pepe n.k walikuwa wakisugua benchi. Ramos alikuwa mapepe sana kipindi cha Jose Mourinho ila na yeye kawa mpole. Carlo aliituliza timu kuwa na nidhamu ya hali ya juu, zile fujo fujo hazikuwepo tena kabisa.
Madrid pale ukikoaa tu kombe basi unatimuliwa, chakushangaza bado makocha wanapapenda sana
Mwaka jana kachukua nao UEFA champions ligue,mwaka huu wamemtema,PEREZ anaangalia faida kila mwaka,haangalii kama nyuma ulileta mafanikio,yeye ni now na keshoKuwa kocha wa Madrid ina ujiko wake...
real madrid na Yanga hawana tofauti
Bora Madrid,wengine wanapigwa sita na Stoke hatusikii chochote
mkuu mbona huwa sikuoni kule ukimsaidia Gang chomba?? wakatalunia wamemuandama vbaya!