Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Kweli kabisa mkuu, yupo kimya sana.Don carlo hana noma na mtu mzee mnyenyekevu sana huyu hana mbwembwe nyingi yupo kama hayupo
Sure sureAna nafasi yake ktk ulimwengu wa soka.
Watamtaja TT, klopp na pep wakati wote wamepokea kichapo cha mtu mzima CarloTusubiri wale washibiki wa wanaoitwa makocha vijana waje hapa tupate maneno yao.
Anatulia zake touchline kimya anasoma mchezo tuu....akinyanyua ile eyebrow yake ya kishoto tuu ujue kasha ng'amua kitu.🤣🤣🤣🤣🤣Don carlo hana noma na mtu mzee mnyenyekevu sana huyu hana mbwembwe nyingi yupo kama hayupo
SafiiiiApewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo.
Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid).
Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
🤣🤣🤣Carlo Ancelotti amezaliwa kubeba mataji
SawasawaAna nafasi yake ktk ulimwengu wa soka.
HaswaaahSure sure
Jamaa hana amshaamsha lakini ni tactical kinomaAnatulia zake touchline kimya anasoma mchezo tuu....akinyanyua ile eyebrow yake ya kishoto tuu ujue kasha ng'amua kitu.🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari ...alafu jamaa alivyo mbabe, assitant ni mtoto wake mwenyewe🤣🤣🤣🤣Jamaa hana amshaamsha lakini ni tactical kinoma
Mpira wa kisasa unataka quality players, coach na timu yenye mentality ya ushindi. Hivi vyote vipo Madrid sasa hivi.Ndo mjue timu inamchango mkubwa
Alikuwa everton hakuna maajabu aliyo fanya
Hii nilikuwa sijui aisee.Hatari ...alafu jamaa alivyo mbabe, assitant ni mtoto wake mwenyewe🤣🤣🤣🤣
Well now u know.Hii nilikuwa sijui aisee.