Carlo Ancelotti ndio kocha bora katika historia ya mpira wa miguu

Carlo Ancelotti amezaliwa kubeba mataji..Ni Kocha wa Mataji
Jamaa kachukua Madrid pale baada ya benitez kutolewa halafu miezi michache akabeba ucl 2014.. tena karudishwa this time timu haisomeki lakini kabeba tena laliga na ucl.

Jamaa anayo mentality ya ushindi.
 
Well now u know.
Mtoto wake alitaka kuwa mchezaji mpira ila ilifika mahali ac milan wakasema kijana u aint gona make it. Basi baba yake akamwambia ingia usomee mambo ya sport science. So kapiga degree yake kachanganya na leseni zake za uefa baba kampa maulaji. Hapo carlo anajua kabisa hamna mtu wakunihujumu🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee yuko poa maana hapo dogo anakula uzoefu halafu muda si mrefu utaona anapewa timu hapo laliga au italy.
 
Ah kabisa atapata timu tuu. Na uzuri wataliano wanavyowapenda watu wao dogo atapata job italy fasta tuu.
Hilo ndio jambo moja napenda kujusu seri a...top clubs zote zinaongozwa na wazawa. Wanajitahidi sana kupromote makocha wao.
 
Kuna wakati nilikuwa Switzerland sasa nikawa nasifia EPL jamaa mmoja wa Italy akawa mkali kinoma kupinga na kusifia serie a. Alikuwa so passionate about ligi yao.

Wale walimzuia yule mchezaji wa south korea aliyewafunga world cup 2002 kurudi serie a.

Kuna kipindi ilikuwa ukiwa nje ya serie a hupati namba timu ya taifa. Hata germany kuna kipindi walikuwa hivi.

Wanaipenda sana nchi yao.
 
Wapo very patriotic kwa kweli. Watu wanawasema ni wabaguzi but ni wazalendo haswa.
Wee ona milan, inter, napoli, juvetus lzio zote zinafundishwa na italian coaches.

Hawa wakina konte na carlo walipewa playform nyumbani kwennye timu kubwa waka perform then ndio wameenda kufundisha nje ya nchi. But they we give the chance pale nyumbani.

Sie huku kwetu simba yanga azam hawataki kusikia suala la local coaches kila leo foreign coaches. Ujinga tuu huo.
Kwanza jts a shame national team kufundishwa na mgeni.
 
Alikuwa naye the Bavaria
Eeh bwana tatizo liko wapi kama vyeti vya mtoto vipo sawa na anapiga mzigo unaenda nae tuu.

Wazazi wapuuzi wakibongo ndio utasikia kale kamsemo pendwa ka " hivi vyangu nenda katafute vyako" 🤣🤣🤣🤣🤣

Alafu bwana ukiwa mzuri na timu zinakutaka u can dictate terms zako na the bench u work with. Huku kwetu njaa ndio hiyo unaona wanakuletea sijui assitant huyu mara doctor yule.
 
Wapo very patriotic kwa kweli. Watu wanawasema ni wabaguzi but ni wazalendo haswa.
Wee ona milan, inter, napoli, juvetus lzio zote zinafundishwa na italian coaches.

Hawa wakina konte na carlo walipewa playform nyumbani kwennye timu kubwa waka perform then ndio wameenda kufundisha nje ya nchi. But they we give the chance pale nyumbani.

Sie huku kwetu simba yanga azam hawataki kusikia suala la local coaches kila leo foreign coaches. Ujinga tuu huo.
Kwanza jts a shame national team kufundishwa na mgeni.
Mkuu kwa bongo tatizo ni uwekezaji zaidi ya mzee kayuni Sunday hakuna alie wahi nenda zaidi yake
Kayuni aliipa ub ingwa leopard ya Kenya
Waitalianao wamewekeza muda mrefu sana
Anzia enzi na enzi na wana high profile coaches
Lippi
Arigo Sachi
Dino zoof
Maldini snr
Pia kwa yote yawezekana tukiamua
 
Kweli nakubaliana na wewe inawezekana kabisa ila sasa ndio inatakiwa initiative ya maana. Kwanza kabisa restrict the number of foreign coaches waaokuwepo kwenye ligi. Weka stipulation kwa vilabu kuwa hurusiwi kuleta kocha yoyote yule mwenye lisense ambayo ni equivalent na ya local. Ni lazima awe na leseni ya juu zadi ya hiyo.

Weka mkakati maalum wa kuwasomasha local coaches na pia muwe na vitengo maalum kwa ajili ya kuuchambua mchezo wenu wenyewe ligi yenu. Chuo pale udam kuwe na research institute kubwa tuu.

Haya mambo yanawezekana ukitaka kaka. Mbona huyu huyu motsepe aliweka nianya kushinda caf champions leagu na kocha mzawa na akafanikiwa. He hire pitso akawa anamlipa vizuri tuu na akampa mida wakutosha kujenga timu and he got rewarded.

Al ahly kala tano pale sauz watu wakashanga ndio sasa waarabu wakamtaka. But all in all ilianza na nia toka kwa mtu ambaye alihakikisha na promote local coaches. Ata sasa bench la sundowns ni wazawa tupu.
 
Wapo very patriotic kwa kweli. Watu wanawasema ni wabaguzi but ni wazalendo haswa.
Wee ona milan, inter, napoli, juvetus lzio zote zinafundishwa na italian coaches.

Hawa wakina konte na carlo walipewa playform nyumbani kwennye timu kubwa waka perform then ndio wameenda kufundisha nje ya nchi. But they we give the chance pale nyumbani.

Sie huku kwetu simba yanga azam hawataki kusikia suala la local coaches kila leo foreign coaches. Ujinga tuu huo.
Kwanza jts a shame national team kufundishwa na mgeni.
Hapa kwetu mpaka klabu ziwe na mifumo ya kujiendesha bila kutegemea hela za mtu ndio tutaweza kuwa na makocha wa tz na wakafanikiwa. Sasa hivi ukimpa mtz hizi timu kubwa hawezi kufanikiwa.

Atafanyiwa fitina na hata kikosi atapangiwa. Mwisho ataondolewa tu na hakutakuwa na mafanikio.

Lazima tz tufikie level za klabu kuwa kwenye masoko ya hisa ili umiliki uwe clear na bodi ziwe na nguvu kuendesha timu.
 
Ukweli kabisa. Inahitajika genuine effort ya kupeleka mpira mbele sio tantalila za kamati za ushindi
 
Kweli nakubaliana na wewe inawezekana kabisa ila sasa ndio inatakiwa initiative ya maana. Kwanza kabisa restrict the number of foreign coaches waaokuwepo kwenye ligi. Weka stipulation kwa vilabu kuwa hurusiwi kuleta kocha yoyote yule mwenye lisense ambayo ni equivalent na ya local. Ni lazima awe na leseni ya juu zadi ya hiyo.

Weka mkakati maalum wa kuwasomasha local coaches na pia muwe na vitengo maalum kwa ajili ya kuuchambua mchezo wenu wenyewe ligi yenu. Chuo pale udam kuwe na research institute kubwa tuu.

Haya mambo yanawezekana ukitaka kaka. Mbona huyu huyu motsepe aliweka nianya kushinda caf champions leagu na kocha mzawa na akafanikiwa. He hire pitso akawa anamlipa vizuri tuu na akampa mida wakutosha kujenga timu and he got rewarded.

Al ahly kala tano pale sauz watu wakashanga ndio sasa waarabu wakamtaka. But all in all ilianza na nia toka kwa mtu ambaye alihakikisha na promote local coaches. Ata sasa bench la sundowns ni wazawa tupu.
Naomba unifafanulie mkuu sie tunafwata cariculum ipi
Brazilian
Denish
German
Total football
English
France
Manake hatujui tupo wapi
Kwenye aina ya uwekezaji kwenye soka
 
Sie kwa kweli sijui tunafuata ipi labda uende tff watakwambia
 
Back
Top Bottom