Carol Ndosi ni nani haswa?

Carol Ndosi ni nani haswa?

Status
Not open for further replies.
Nataka kununua nyama ya mshindi wakwanza, kilo 3 sijui naipataje
 
hahaha U.S.A baby.....

IMG_1504.jpg
 
Huyu KizzoGunz afahamiki apa. Umemtangaza yupo juuu kama Alikiba

Watoto wa waliozaliwa utawala wa Maghufuli na watu wazima mliojulia mitandao uzeeni ndio mtakua hamuwezi. Kumfahamu kizzo gunz
 
Kwa hiyo mnataka kufeuza uzi wa wenzenu kama pahala pa kuoneshea ufahali wa maisha yenu eeeh? Mwastahili ban nyie
 
Watoto wa waliozaliwa utawala wa Maghufuli na watu wazima mliojulia mitandao uzeeni ndio mtakua hamuwezi. Kumfahamu kizzo gunz
Hahahahaaa. Wivuuu. Gunz mnyamwezi. Utakuta yeye hamjui ila demu wake anamjua kizzo
 
Carol ningependa kujua ulikuwa unafikiri nini au kuhisi nini kabla kuamua kufanya mjadala na wana Jf maana najua fika kuna macelebrity wengi wangependa kuwa na mijadala hapa nasi lakini wana hofia sana...
 
Naamini tunatakiwa kuhofia zaidi watu kuwa na misinformation. Mimi sio celebrity, shughuli zangu ndio zinanifanya nijulikane. Na hata wale wanaonifahamu kupitia shughuli zangu hawanijui zaidi ya kuniona kwenye shughuli na events. Ninapopata nafasi, haswa kwa wale wasio na taarifa sahihi naona ni bora na vyema kujibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom