Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Pale kwa donii nyamachoma yake nzuri sana. sijafika hapo muda sana.mimi nimeishi USA River nyuma ya Bar moja maarufu inaitwa Kwa Donii dah umenikumbusha mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale kwa donii nyamachoma yake nzuri sana. sijafika hapo muda sana.mimi nimeishi USA River nyuma ya Bar moja maarufu inaitwa Kwa Donii dah umenikumbusha mbali sana
I'm proud of you CarolNdosi, nakumbuka ulikuwa Dada Mkuu Makongo High School enzi za Mwl.KipinguNaamini tunatakiwa kuhofia zaidi watu kuwa na misinformation. Mimi sio celebrity, shughuli zangu ndio zinanifanya nijulikane. Na hata wale wanaonifahamu kupitia shughuli zangu hawanijui zaidi ya kuniona kwenye shughuli na events. Ninapopata nafasi, haswa kwa wale wasio na taarifa sahihi naona ni bora na vyema kujibu.
I'm proud of you CarolNdosi, nakumbuka ulikuwa Dada Mkuu Makongo High School enzi za Mwl.Kipingu
Duuu trust me sikuwa nimesoma hii pamoja na majadiliano leo...aiseee wewe ni chuma hakika mabinti na wanawake wana chakujifunza sana kwenye hili bandiko lako.
Duu Pole sana samehe waliokukwaza na kukuangusha na usiache kushirikiana nao kwa njia unayo ona inafaa....naamini mko poa nao.
Duu kwa hivi vikwazo naamini ushindi kwako unakaribia...na hakuna kinacho kosa vikwazo.
Hongera sana sana usikate tamaa kabisa...
Sijui niombe kaziEeeh nitakuweka
Kazi gani mkuu?Sijui niombe kazi
Na degree ya ubaharia kma lemutuz nafasi ya kuchoma nyama inanifaaKazi gani mkuu?
Hahahahaaa. Kuchoma nyama hakuhitaji degree bwana.Na degree ya ubaharia kma lemutuz nafasi ya kuchoma nyama inanifaa
Le mutuz ana degree 3 za upishi meliniHahahahaaa. Kuchoma nyama hakuhitaji degree bwana.
Jamaa yupo naona ana cross boda sana,ana mke 0.5Hivi huyu Kijo yuko wapi aisee kipindi kile kilikuwa kizuri sana jamaa ana akili sana yule
Degree mchezo.Le mutuz ana degree 3 za upishi melini
Huwa anasema anadegree 3 ..ubaharia,kuendesha gari ya kubeba uharo,kuendesha gari ya kubeba taka jumla ni degree 3Degree mchezo.
Hahahahaaa.Huwa anasema anadegree 3 ..ubaharia,kuendesha gari ya kubeba uharo,kuendesha gari ya kubeba taka jumla ni degree 3