Ntakasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 1,428
- 456
Music industry ya Tanzania ndio imemuangusha huyu mama?au kajiangusha?.....anafanya music safi sana....na music yake hauchuji!.....nadhani wadau wangepush musicians kama hawa kama kweli tuna nia ya kupenya kwenye soko la kimataifa kama wakina Zahara,Lira,Asa na Zolani Mahola walivyofanikiwa......nadhani tunahitaji wanamuziki wa kike wa 'kihivi'..na sio wauza sura...akina Rihanna 'wanna be's'
Kuna wakina Grace Matata ambao wanafanya good music....modern with African touch....lakini wadau wana'base' kwenye angle hasi ya music......
Kuna wakina Grace Matata ambao wanafanya good music....modern with African touch....lakini wadau wana'base' kwenye angle hasi ya music......