Carola Kinasha....

Carola Kinasha....

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
Music industry ya Tanzania ndio imemuangusha huyu mama?au kajiangusha?.....anafanya music safi sana....na music yake hauchuji!.....nadhani wadau wangepush musicians kama hawa kama kweli tuna nia ya kupenya kwenye soko la kimataifa kama wakina Zahara,Lira,Asa na Zolani Mahola walivyofanikiwa......nadhani tunahitaji wanamuziki wa kike wa 'kihivi'..na sio wauza sura...akina Rihanna 'wanna be's'
Kuna wakina Grace Matata ambao wanafanya good music....modern with African touch....lakini wadau wana'base' kwenye angle hasi ya music......
 
Carola Kinasha ni booonge moja msanii na mwanamuziki!!
Tatizo tu m naona yeye ''NI BARUA YA KIHAYA KWA WAPEMBA''!!.
 
Wateja wa muziki wengi wa Tanzania hawajui muziki,na wanaofanya promo kwenye media za bongo wote ni makuzi watupu.
Point.
 
Back
Top Bottom