PostGE2025 Carry mastory na Diva waongezwe kwenye list ya watu wa kuwa unfollow. Haswa huyu carry

PostGE2025 Carry mastory na Diva waongezwe kwenye list ya watu wa kuwa unfollow. Haswa huyu carry

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Wasanii wanapishana kufanya malipo kwa Carry mastory na Diva kuhakikisha wanapewa promo ya kuwalaghai wananchi wawapokee kwa mara nyingine.

Kwa mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize kwa nini wanayafanya hayo leo?

Kama walikuwa wanania ya dhati ilibidi wakatae udhalimu angalau baada ya yale maafa ya 29 Oct na kuwa upande wa wananchi , lakini jamaa walishikilia bomba kana kwamba hakuna kitu chochote kilichotokea.

Sasa mwendo ni ule ule, na hawa pia tuongeze kwenye ile list ya kuwa ignore .
 
Back
Top Bottom