As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Hebu tuma kapicha nione shape yake.Mkuu mi kwa shape na sura namkubali pia,watu tunatofautiana aiseee ila mi namkubali kwa sura na hiyo shape yake
Mjini njoo na akili tuUmbea ndio unaomweka huyo binti mjini anaingiza zaidi ya 1.5 Mil kupitia Instagram kwaiyo ameshajiajiri kupitia A/c yake ya Inst hawezi kuacha umbea ndio ajira yake
Na alisema malengo yake ni kuingiza 5Mil kwa mwezi kupitia Inst anapata sana Matangazo Dm kutoka kwa wadau mbalimbali
Kasoma akili ya wabongo akaona wanapenda sana Umbea ndiyo maana watu wenye biashara zao wanamtumia kama sehemu ya kujitangaza kibiasharaMjini njoo na akili tu
MmmmhZamani alikuwa ananiuza pale Mwananyala kwa mama zakaria
Kazinang’ang’aniza kuwa kasafi
Umbeya unapunguza stress wacha waburudishwe.Kasoma akili ya wabongo akaona wanapenda sana Umbea ndiyo maana watu wenye biashara zao wanamtumia kama sehemu ya kujitangaza kibiashara
Wadada waache kupenda umbeya watu hawa watakosa soko
Hahahaha hahahaha jamaniPole alikuwa anakuuza kwa nani? Kwa waarabu?
Binafsi napendelea sana Comedi kupunguza stress na sio huo upuuzi wakufuatiliana mpaka umevaa nn ndaniUmbeya unapunguza stress wacha waburudishwe.
Hahaha babe leo una nini?Embu tumuone huyo wako anaekudindishaga akisaula kama kamzidi Carry
Wacha wee...umeshawahi kununua hata wewe?Tofauti na umbea anauza huyo
Huo upuuzi una watu wake ndio maana wengine hata hatumjui huyo castoryBinafsi napendelea sana Comedi kupunguza stress na sio huo upuuzi wakufuatiliana mpaka umevaa nn ndani
Akina dadaHuo upuuzi una watu wake ndio maana wengine hata hatumjui huyo castory
Hapana mimi huwa situmii Biriani, yeye huuza Biriani pekee yake.Wacha wee...umeshawahi kununua hata wewe?
Stress tu babyHahaha babe leo una nini?
NdiwooooHivi milly anasema kaolewa dar
Hivi dubai alitimukiwa eti?
HayaMfaute pm
me huwa naamini una umbo kama milly biriani!..🙂Sema hamnaga watu wana wanawake wabaya kama wanaopenda kuponda wanawake wa wenzao.