Carrymastory kuwashambulia watu mtandaoni bila kuwa na ulinzi unahatarisha usalama wako

Carrymastory kuwashambulia watu mtandaoni bila kuwa na ulinzi unahatarisha usalama wako

Mbele ya makeup na filters hakuna ambaye sio mrembo.
1st date mnaenda swimming kwanza kujihakikishia.
Kwani mrembo maana yake nini? Kajiremba na karembeka hence mrembo.
 
inategemea mkuu wanaume wote hatupo sawa kuna wengine hatusimami mpaka touching kwanza, so jamaa naweza kumuelewa kiasi fulani alafu wanawake wengi wanadhania kwamba mwanaume akisimama anakua anafikilia mambo yetu lakini kuna wakati unaweza ukakaa hata kwenye foleni ya benki au kanisani kabisa jamaa akasimama pasipo sababu tu.
Duh kazi ipo
 
Hamna hapo walicheza na camera bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
ni kwel make up zinaweza kuchange muonekano wa mtu sio make up tu mfano hata style za mawani zinatemea na kichwa cha mtu kuna style wew ukivaa unaonekana mashavu makubwa au kichwa kipana kutokana na kwamba haiendi sambamba na sura yako , niliwai kuangalia issue hizo katika movie setting jinsi wanavyo design characters wa movies.
 
Haha mimi nadhani wanao wazuri, unapata wapi ujasiri wa kusema mtu mbaya wakati wa kwako akitemea hajulikani anakuja au anaenda?
Akitembea.....? Hivi ni wewe unam describe wifi yako hivi?
 
Somtyme wazungu wapo sawa kuchapana risasi mmoja akizingua.....kila sku kunanga wenzako sio poa kabisa,
Ipo siku atakuja kutembezewa ya mguu huyu, hasa mondi ndio anamfuatilia sana sema jamaa kamkalia kimya tu, hapendi majibizano, anajifananisha na mange wakati mwenzake yuko kwenye taifa lenye uhuru mkubwa
 
Back
Top Bottom