geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,311
- 1,780
Haaaa!! statement ya jamaa kwamba huyo demu akivua jamaa hadindi naona imekuumiza sana, au iliwai kukutokea jamaa akagoma kuamsha mnara [emoji16][emoji16]Sema hamnaga watu wana wanawake wabaya kama wanaopenda kuponda wanawake wa wenzao.