Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
we mkorofiMbele kukubwa kuliko nyuma. Yani huwezi jua mbele wapi nyuma wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mkorofiMbele kukubwa kuliko nyuma. Yani huwezi jua mbele wapi nyuma wapi
We nenda youtube andika makeup transformation utajionea mambo ya ulimwengu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna hapo walicheza na camera bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mrembo maana yake nini? Kajiremba na karembeka hence mrembo.Mbele ya makeup na filters hakuna ambaye sio mrembo.
1st date mnaenda swimming kwanza kujihakikishia.
Zamani alikuwa ananiuza pale Mwananyala kwa mama zakaria
Kazinang’ang’aniza kuwa kasafi
Nikajua naturally mrembo sio urembo wa mudaKwani mrembo maana yake nini? Kajiremba na karembeka hence mrembo.
Duh kazi ipoinategemea mkuu wanaume wote hatupo sawa kuna wengine hatusimami mpaka touching kwanza, so jamaa naweza kumuelewa kiasi fulani alafu wanawake wengi wanadhania kwamba mwanaume akisimama anakua anafikilia mambo yetu lakini kuna wakati unaweza ukakaa hata kwenye foleni ya benki au kanisani kabisa jamaa akasimama pasipo sababu tu.
Bongo sasa hivi anamishe gani ndio hizi hizi za kutype majungu IG basi?Aah wapi. Sio bank bwana. Alikua anafanya kazi Bureau de Change Dubai
ni kwel make up zinaweza kuchange muonekano wa mtu sio make up tu mfano hata style za mawani zinatemea na kichwa cha mtu kuna style wew ukivaa unaonekana mashavu makubwa au kichwa kipana kutokana na kwamba haiendi sambamba na sura yako , niliwai kuangalia issue hizo katika movie setting jinsi wanavyo design characters wa movies.Hamna hapo walicheza na camera bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona neno mrembo ujue kajiremba. Kama ulivyosema yeyote anaweza kuwa mrembo iwapo atajiremba.Nikajua naturally mrembo sio urembo wa muda
Hata sijakukatikia
Akitembea.....? Hivi ni wewe unam describe wifi yako hivi?Haha mimi nadhani wanao wazuri, unapata wapi ujasiri wa kusema mtu mbaya wakati wa kwako akitemea hajulikani anakuja au anaenda?
Somtyme wazungu wapo sawa kuchapana risasi mmoja akizingua.....kila sku kunanga wenzako sio poa kabisa,Binti anatumia page zake vibaya sana ipo siku anaowachafua watamchoka then atakuja kuchezea makofi
View attachment 1081441
Hahaha hiyo akitembea umetafsiri vipi? Kwani wifi yangu ndio yuko hivyo?Akitembea.....? Hivi ni wewe unam describe wifi yako hivi?
Guess.Hahaha hiyo akitembea umetafsiri vipi? Kwani wifi yangu ndio yuko hivyo?
Ipo siku atakuja kutembezewa ya mguu huyu, hasa mondi ndio anamfuatilia sana sema jamaa kamkalia kimya tu, hapendi majibizano, anajifananisha na mange wakati mwenzake yuko kwenye taifa lenye uhuru mkubwaSomtyme wazungu wapo sawa kuchapana risasi mmoja akizingua.....kila sku kunanga wenzako sio poa kabisa,
Daah muogope Mungu.Sura mbovu kichizi alafu kaipiga puti/plasta ya hatari...alafu meno sasa!jino moja refu moja fupi hayo ya mbele utadhani kambale!
Umbea wake umekaa kiutani zaidi
Mbona huwa anawatania karibu wasanii wote?Anapenda kuchokonoa sana familia za watu, hasa familia ya platnumz, atakuja kukalishwa siku... Amuulize mwenzake soudy hadi leo hana ham na WCB