As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Umbea ndio unaomweka huyo binti mjini anaingiza zaidi ya 1.5 Mil kupitia Instagram kwaiyo ameshajiajiri kupitia A/c yake ya Inst hawezi kuacha umbea ndio ajira yake
Na alisema malengo yake ni kuingiza 5Mil kwa mwezi kupitia Inst anapata sana Matangazo Dm kutoka kwa wadau mbalimbali
Na alisema malengo yake ni kuingiza 5Mil kwa mwezi kupitia Inst anapata sana Matangazo Dm kutoka kwa wadau mbalimbali