Case Close: Aishi Manula ni Tanzania One, Case Starts: Namba moja Afrika

Msambwanda ndio kitu gani ?tuanze hapa ili nijue kukujibu kulingana na udogo wa akili yako.
 
Sio huyu aliyetunguliwa kizembe na Prison akataka kubondwa na mashabiki,sio huyu anayetunguliwa mita 40, lile ni pazia
Kuonyesha kwamba Manula ni bora, inabidi utafute kwa tochi ni goli gani alilofungwa. Huo ndio ubora wenyewe unaozungumzwa. Yanga hadi leo haijulikani kipa namba moja ni nani, maana kila anayekaa langoni ni wasiwasi tu kwa mashabiki wao
 

Mpeni credit kocha mpya wa makipa simba, amefanya kazi kubwa
 
Performance hii iwe na Consistently, isiwe performance ya muda mfupi baadae anarudi kule kule kwenye Errors zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…