IMF ni ya mabepari huenda wamekosea halafu taarifa zake sio za kweli kwani wewe unaziamini taasisi za western?Kwa hiyo wewe unajua Sana kuliko IMF walioweka China no 2 kiuchumi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IMF ni ya mabepari huenda wamekosea halafu taarifa zake sio za kweli kwani wewe unaziamini taasisi za western?Kwa hiyo wewe unajua Sana kuliko IMF walioweka China no 2 kiuchumi?
Kwa hiyo wamekosea kuweka USA?alafu hizo taasisi ni za dunia sio za magharibi Wanaweka ranking kutokana na vigezo vyao hawakurupuki.IMF ni ya mabepari huenda wamekosea halafu taarifa zake sio za kweli kwani wewe unaziamini taasisi za western?
Bidhaa feki wanauzia mpaka wachina wenzao mafukara maskini maana hawana hela ya kununua bidhaa za viwango, wanaua watoto wao, kumbe unaziamini taasisi za western zinapotoa takwimu?Hivi umetumia akili kuandika haya?wamewekwa no 2 kiuchumi duniani na pia wanamabilionea wengi Sana kama Marekani bidhaa feki zinaletwa kwenu nchi masikini Kwa Sababu hamna hela ya kununua bidhaa za maana na wanapeleka bidhaa za viwango ulaya na marekani.
Alaaaa vizuri saba umekiri endelea na ukiri huu.Kwa hiyo wamekosea kuweka USA?alafu hizo taasisi ni za dunia sio za magharibi Wanaweka ranking kutokana na vigezo vyao hawakurupuki.
China ni wa vitu fake hivyo hata rais wao akitoa kauli zingine fake na yeye mwenyewe rais ni fake vilevile
Isipokuwa kijeshi mbona unajitoa akiliChina ni taifa kubwa kuliko Urusi kwa kila kitu
Tutaukumbuka uchumi wetu wa kati milele na milele 😂Nchi za kidikiteta huwa wanakuwa na uchumi fake unaonekana kwenye makaratasi tu. Hatujasahau uchumi wetu wa Kati.
CHINA = MANDONGA WA DUNIARussia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga.
Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni closed bingwa Kashajulikana.
Ubishi umeisha. Tukubali matokeo
hahahahaaaaaNchi za kidikiteta huwa wanakuwa na uchumi fake unaonekana kwenye makaratasi tu. Hatujasahau uchumi wetu wa Kati.
Sasa Urusi na Ukrain ni Ulaya? Ulaya jina tu.Mimi nipo kwenye umri wa arobaini arobaini, nimebahatisha kuvisikia Vita vingi na uvamizi tofauti tofauti. Ila kiukweli sikuwahi shuhudia nchi binafsi ikiivamia nchi ya kizungu.nimeona Mara ya kwanza kwa Russia. Kwa uoni wangu supa pawa namwona kwa upana. Russia ngatisha