Case closed, mbabe wa dunia kashajulikana

Case closed, mbabe wa dunia kashajulikana

IMF ni ya mabepari huenda wamekosea halafu taarifa zake sio za kweli kwani wewe unaziamini taasisi za western?
Kwa hiyo wamekosea kuweka USA?alafu hizo taasisi ni za dunia sio za magharibi Wanaweka ranking kutokana na vigezo vyao hawakurupuki.
 
Hivi umetumia akili kuandika haya?wamewekwa no 2 kiuchumi duniani na pia wanamabilionea wengi Sana kama Marekani bidhaa feki zinaletwa kwenu nchi masikini Kwa Sababu hamna hela ya kununua bidhaa za maana na wanapeleka bidhaa za viwango ulaya na marekani.
Bidhaa feki wanauzia mpaka wachina wenzao mafukara maskini maana hawana hela ya kununua bidhaa za viwango, wanaua watoto wao, kumbe unaziamini taasisi za western zinapotoa takwimu?
 
China ni taifa kubwa kuliko Urusi kwa kila kitu
China ni wa vitu fake hivyo hata rais wao akitoa kauli zingine fake na yeye mwenyewe rais ni fake vilevile
 
Mimi nipo kwenye umri wa arobaini arobaini, nimebahatisha kuvisikia Vita vingi na uvamizi tofauti tofauti. Ila kiukweli sikuwahi shuhudia nchi binafsi ikiivamia nchi ya kizungu.nimeona Mara ya kwanza kwa Russia. Kwa uoni wangu supa pawa namwona kwa upana. Russia ngatisha
 
1659543789637.png
 
Russia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga.

Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni closed bingwa Kashajulikana.

Ubishi umeisha. Tukubali matokeo
CHINA = MANDONGA WA DUNIA
 
Mimi nipo kwenye umri wa arobaini arobaini, nimebahatisha kuvisikia Vita vingi na uvamizi tofauti tofauti. Ila kiukweli sikuwahi shuhudia nchi binafsi ikiivamia nchi ya kizungu.nimeona Mara ya kwanza kwa Russia. Kwa uoni wangu supa pawa namwona kwa upana. Russia ngatisha
Sasa Urusi na Ukrain ni Ulaya? Ulaya jina tu.
 
Back
Top Bottom