Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wewe una umri gani? Mimi nimetembea nchi nyingi Kenya hamna huduma zozote za maana nchi imejaa rusha askari wanaomba pesa kwa nguvu wakijua wewe mgeni. Wakenya wanashangaa mwendokasi Tqnzania waafrica walljazana Ulaya ni Wafrica Magharibi. Halafu wewe hiyo Ujerumani yako wewe siyo wa kwanza kwenda Ulaya, mnaishi kwa shida sana hapo Ulaya mnalala kwenye nyumba passport size. Tanzania watu wanapambana wanaishi maisha mazuri wewe hauna uwezo wa kununua hata kiwanja cha milioni 80, sana sana ukija Tanzania utaishia kujenga nyumba Chanikia au kwenu Bukoba Kashai.Unasema Kenya wana njaa lakini kwa taarifa yako katika watu wanaopiga kazi na wamejazana huku nje wakenya wametuacha nyuma sana. Watanzania tumezoea kubebwa kubembelezwa kuitwa wanyonge. Mtanzania anaweza kuwa na maisha magumu lakini bado anachagua kazi. Mtanzania hata akiwa na kazi anafanya kama analazimishwa. Aisee sisi tuko nyuma sana. Naomba ujaribu kwenda hata hapo Nairobi halafu linganisha huduma utakayopata katika service yeyote na nyumbani. Hapo ndio utajua kuna mahala tunapwaya. Waliowahi kufanya biashara au kuishi Kenya wanajua.
Unachukua mtu mmoja mmoja nimekuambia waarabu hawajafikia influence ya wayahudi katika ramani ya dunia. Haya niambie hapo NASA kuna wayahudi wangapi na waarabu wangapi ?