cashier (preferably a lady living in Arusha)

cashier (preferably a lady living in Arusha)

L'AMOUR

Senior Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
111
Reaction score
24
Wakuu habari,
Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000
Unaweza kutuma CV yako kwa email ya amour.passion@aol.com.
Mwisho wa kopokea maombi haya ni Ijumaa ya tarehe 10 Januari, 2025
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom