Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To call Semenya shemale ni ukatili uliotukuka. Shemales ni wanaume wanaobadilisha jinsia kuwa wanawake, lakini yeye kazaliwa vile. Hata kama ana hormones disorder, lakini she's still a woman. Hizi internet mngetumia kujifunza mambo tofauti yenye kuleta tija kuliko kuropoka bila kufikiria kitu gani unaongea.
Tusiwaongelee watu wa South Africa huku Tanzania tu hapa ukienda vijijini wanawake wamekua wakioa wanawake miaka mingi tu hadi leo inaendelea.
Nu shemale.
Katafute tafsiri nzuri
Nyumba Ntobhu ni tofauti kabisa na hizi za siku hizi..............tuwasubiri wakurya watueleweshe............
Naaam tupo