Caster Semenya marries girlfriend in traditional ceremony

Caster Semenya marries girlfriend in traditional ceremony

To call Semenya shemale ni ukatili uliotukuka. Shemales ni wanaume wanaobadilisha jinsia kuwa wanawake, lakini yeye kazaliwa vile. Hata kama ana hormones disorder, lakini she's still a woman. Hizi internet mngetumia kujifunza mambo tofauti yenye kuleta tija kuliko kuropoka bila kufikiria kitu gani unaongea.

Nu shemale.
Katafute tafsiri nzuri
 
Tusiwaongelee watu wa South Africa huku Tanzania tu hapa ukienda vijijini wanawake wamekua wakioa wanawake miaka mingi tu hadi leo inaendelea.

Hapa kwetu ni tofauti sana na kwa wenzetu. Hapa kwetu binti anatolewa mahari na mwanamke mwenzake ili kitakachozaliwa kiwe mali ya mtoa mahari. Hakuna mahusiano ya kimwili baina ya watu hao. Mtoa mahari anayohaki ya kumshawishi mwanaume anayependa kuzaa na huyo binti, hayo yakifanyika binti anapokea natural sexual right badala ya kusagwa.

Kwa wenzetu kuolewa huko ni mahusiano ya kimapenzi including but not limited to 'kisago'.
 
He/she has a d*ck and the the two labia sisters (manora na minora)

He/she is blessed

wacha aoe tu, he/she may get a husband too very soon

What a confusion
 
Back
Top Bottom