pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
- Thread starter
-
- #21
mchapanga? Aisee hapana
mchapanga? Aisee hapana
dah watu wanamchomesha moe technhiques!
Unamwamini huyo matumbo? Anaongea kama jina lake.
ukiua hata utoke jela maisha yako sio marefu haijarish ulikusudia au bahati mbaya ,mifano ipo mingi sana kwa walio ua kufa mapema
Guarantee(life span) yao inakuwa ni miaka mingapi kaka? Mbona naona wengi wanaishi na wanawazika wale wanaosemekana ni wema?
Wanajeshi wanaotoka vitani wanakuwa excluded kwenye kundi hili?
Guarantee(life span) yao inakuwa ni miaka mingapi kaka? Mbona naona wengi wanaishi na wanawazika wale wanaosemekana ni wema?
J Moe Uholanzi kenda lini? Huyu bro nae Punda nini?
kitambooo,ndo alomshawishi cowobama..
duh, toka 2004 niko primary!
nilisikiaga sana hiyo ishu japo sikuielewa vizuri aise!!
basi noma sana sikutegemea
kifo cha jamaa kilitisha sana kama headline za habari ilikua hatari tupu. RIP STEVE, SIR GOD AMSAMEE MADHAMBI YAKE CASTRO amen.
Aliyekuwa producer wa kundi maarufu la Mambo poa,Castrol Ponella. Ametoka jela miezi 5 iliyopita kwa msamaha wa rais,toka 2004 hadi mwaka huu.
Alipelekwa jela kwa kumchoma kisu mwanamuziki Steve 2k na kumsababishia kifo.
Hakutaka vyombo vya habari kujua ndio maana akatulia kwanza.
Source: East Africa radio & Dj Seki.
tulia mtoto wa juzi,tanguliza heshima kwanza.,na acha hiyo maswali yako...la msingi mshkaji yupo kitaa!,yaliyopita si ndwelewote walikuwa hawana akili tu!!! how dare they fight for a woman?
now who was a real lover of that woman by the way?
and what action was taken against that woman ?
for sure love is a crime, let me be 'not wanted'!
tulia mtoto wa juzi,tanguliza heshima kwanza.,na acha hiyo maswali yako...la msingi mshkaji yupo kitaa!,yaliyopita si ndwele
imebaki ajiite matakko tu.
nimeipenda signature yako grand amour.....itumie na kwangu pia,kiroho safi.mbona unatumia vulgar rubbish language hivyo?
this is not its place!!