Ubwabwa Mtamu
Member
- Oct 26, 2021
- 9
- 6
Karibu kitaa mchizi wangu Castro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha that's power of pussy........Free Nguza and papii kocha.......
Yaani ndio unamkaribisha leo? Miaka yote ulikuwa kumkaribisha?Karibu kitaa mchizi wangu Castro
Marehemu au stive2K mmoja wao alikuwa anaamulia ugomvi wa wengine, kama kifo cha faza nelly wa x plastazHuyu jamaa nilisoma kwenye gazeti la udaku kwamba waligombana kwa ajili ya dem,,Steve akamfuata getoni kwake akiwa na kisu,katika purukushani za steve kutaka kumchoma jamaa,jamaa akabahatika kumpokonya kisu na kumchoma steve.
Mbona yeye bado yupo chief na hii ni 2021 tunaingia 2022 au maisha mafupi ukitoka jela yanaanzia miaka mingap mpaka mingap?ukiua hata utoke jela maisha yako sio marefu haijarish ulikusudia au bahati mbaya ,mifano ipo mingi sana kwa walio ua kufa mapema
Faza nelly ilikuaje na alifariki mwaka ganMarehemu au stive2K mmoja wao alikuwa anaamulia ugomvi wa wengine, kama kifo cha faza nelly wa x plastaz
Mwaka sina hakika sana ila nahisi 2005, washkaji walikuwa wanagombana kwenda kuamulia bahati mbaya kisu kikampata yeye akadediFaza nelly ilikuaje na alifariki mwaka gan