Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Hilo lipo wazi,, na kwa akili ya kawaida tu, ni kwamba wamejiua kisiasa tayari.

Na ndo hapo wajue nje ya mfumo uliopo usijedanganye una nguvu. Ukishaondoka na nguvu zako zinaisha. Kuweza kubounce back ni neema tu! Otherwise hao mpaka hapo walipo ni zilipendwa tu.

Watatokea watu wengine wenye nguvu na wao watasahaulika milele.

Hakuna mtanzania asiyejua walichofanya. Kwa hiyo hata wakifanya propaganda watu watakuwa wanawachekinkwa mbali na kucheka tu!!
 
Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Lyatonga hajafikia mafanikio ya Mbowe kwenye lolote lile so usimlinganishe.

Pili consistency ya CHADEMA kma chama kikuu cha upinzani (Serikali mbadala) haijawahi kuwa overtaken na chama kingime chochote kitu ambachp mrema amefeli.

Mrema amewahi fikisha wabunge 70+? Halmashauri 20+? Kukivusha chama kwenye migogoro mizito?

Mbowe is underrated
 
Viongozi wake wa juu wanajijua wewe hata usijali. Ndani ya muda wa msamaha utaelewa
Najua wamefukuzwa sitegemei jipya. Chadema ilifukuza Zitto, Kafulila, Shonza, Mwambe n.k na hakuna kilichobadilika. So sitegemei kama kuna tofauti ya kufukuzwa Halima & Co na wengine waliofukuzwa kabla.

Labda waombe msamaha hadharani kama inavyotaka Kamati ya Chama. But kwa vyovyote vile soon Halima ataelewa kuwa yeye siyo chochote nje ya Chadema
 
Back
Top Bottom