Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Ulitaka wachukie ?Na wataomba na kusamehewa sababu ndio makubaliano
Na wafuasi watafurahishwa na hilo
Ulitaka wachukie ?Na wataomba na kusamehewa sababu ndio makubaliano
Na wafuasi watafurahishwa na hilo
Tatizo la watu kama wewe ni kwamba hamjui historia ya kweli ya upepo wa mageuzi uliotuletea mfumo wa vyama vingi. Mmedandia tu gari kama Mrema alivyodandia mageuzi baada ya kuachwa kwenye mataa na CCM wakati wa uchaguzi mkuu wa kwanza mwaka 1995.Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Hao unaowaita wenzetu ni kina nani?Unawaongelea Bashiri,Polepole,Ndugai au Mahera?Kama ni hao,unakosea maana walitakiwa kuwa behind the bars endapo Tanzania kungekuwa na Sheria kwa kughushi,kuisababishia serikali hasara na aibu kubwa.Mmemuacha ADUI yenu mnagombana wenyewe kwa wenyewe.
Wenzenu huko wanacheka tu.
Kuliko hata mwenyekiti wa yale makopo ya mbogambogaMacho yako yanaona pale ninapoona[emoji16][emoji16][emoji16] Mbowe yuko smart sana, anaona mbali[emoji7][emoji23]
Unawahamishia ccm halafu wanakuwa wabunge wa CHADEMA?Mkuu do you think hakuna means yoyote ya kufanywa na akina ndugai ili waendelee kuwa wabunge?hata kwa kuwahamishia ccm?
Hao unaowaita wenzetu ni kina nani?Unawaongelea Bashiri,Polepole,Ndugai au Mahera?Kama ni hao,unakosea maana walitakiwa kuwa behind the bars endapo Tanzania kungekuwa na Sheria kwa kughushi,kuisababishia serikali hasara na aibu kubwa.
Sina imani na elimu ya hawa watu,hekima na busara ya kawaida tu inakataa kuamini kuwa tumefikishwa huku!
Watanzania tuseme sasa basis na tudai Katiba Mpya kama msingi wa Taifa,vinginevyo tunaenda shimoni kama Zimbabwe kwa Uroho wa wachache kwa gharama ya Watanzania.
Mbona Zitto anang'aa mkuu na wakati nae alitumuliwa hivyo hivyo kwa usaliti na watu wote wanajua.Hilo lipo wazi,, na kwa akili ya kawaida tu, ni kwamba wamejiua kisiasa tayari.
Na ndo hapo wajue nje ya mfumo uliopo usijedanganye una nguvu. Ukishaondoka na nguvu zako zinaisha. Kuweza kubounce back ni neema tu! Otherwise hao mpaka hapo walipo ni zilipendwa tu.
Watatokea watu wengine wenye nguvu na wao watasahaulika milele.
Hakuna mtanzania asiyejua walichofanya. Kwa hiyo hata wakifanya propaganda watu watakuwa wanawachekinkwa mbali na kucheka tu!!
Hilo lipo wazi,, na kwa akili ya kawaida tu, ni kwamba wamejiua kisiasa tayari.
Na ndo hapo wajue nje ya mfumo uliopo usijedanganye una nguvu. Ukishaondoka na nguvu zako zinaisha. Kuweza kubounce back ni neema tu! Otherwise hao mpaka hapo walipo ni zilipendwa tu.
Watatokea watu wengine wenye nguvu na wao watasahaulika milele.
Hakuna mtanzania asiyejua walichofanya. Kwa hiyo hata wakifanya propaganda watu watakuwa wanawachekinkwa mbali na kucheka tu!!
whatever the case ila ni viti maalumuUnawahamishia ccm halafu wanakuwa wabunge wa CHADEMA?
Vp kuhusu amstedamu na zehagu kiongozi...hatumshtaki Rais tena...Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Ndiyo mtakuwa mmetimiza lengo la kuwa na kambi ya upinzani bungeni ?whatever the case ila ni viti maalumu
Kwahiyo kamati kuu iliwateua ?Mambo ya kutoana kafara kwenye siasa ni kawaida sana,yani kwamba et Halima Mdee alikurupuka tu kwa tamaa zake! Vitu vyengine ni vigumu kuingia akilini.
Zitto siyo threat tena kwa ccm ndiyo maana hawasumbuki nae, angekuwa CHADEMA huenda ndiyo angekuwa tishio kuliko hata Lissu.Mbona Zitto anang'aa mkuu na wakati nae alitumuliwa hivyo hivyo kwa usaliti na watu wote wanajua.
Kirudi nyuma kwa kuwatimua hao wamama 19?? Oiiihhh!Kitu nadhani hapa hii ni furaha kwa chama tawala..haijalishi halima mdee atakua na nguvu nje ya chama au la lakin nachokiona hapa ni chadema kuanza upya tena kutengeneza watu...
Chadema kilitakiwa kipige hatua mbili mbele sasa kimerudi nyuma hatua mbili mpaka kije kikae sawa muda umeisha na pengine kina halima nao wameahaanzisha chama chao cha upinzan kama zito alivyofanya na mgawanyiko wa vyama vya upinzan utaendelea kuwa mkubwa ambapo ndiyo uimara wa chama tawala unapoanzia...
Najua mitego kama hii ni vigumu kuiepuka lakin ni busara zaid kuchukua muda wa kutosha kabla ya kuchukua maamuzi..
Kamat kuu ya chadema ingejipa muda kidogo...
Mdee ndio angepaswa kueleza ilikuaje maana hatujasikia kwa upande wao, ila siwezi kuamini tu kwamba et mtu kama Mdee alikurupuka tu na tamaa zake. Kuna vitu vinatakiwa viwekwe wazi tuvielewe na sio kufurahia tu hii fukuza.Kwahiyo kamati kuu iliwateua ?
Never ever believe a woman!!!Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya