Tuvute subra,nahisiblackmailing na vitishoIla Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Tuvute subra,nahisiblackmailing na vitishoIla Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Kwa maana hiyo wewe kamati kuu huiamini mpaka atakaposema Mdee ?Mdee ndio angepaswa kueleza ilikuaje maana hatujasikia kwa upande wao, ila siwezi kuamini tu kwamba et mtu kama Mdee alikurupuka tu na tamaa zake. Kuna vitu vinatakiwa viwekwe wazi tuvielewe na sio kufurahia tu hii fukuza.
uwe na heshima kidogo kwa mbowe ndugu, kasimama katika mambo mengi sana.Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Sio Threat kwa ccm kwa sababu gani? au ndio yale aliyowahi kusema Lissu kuwa "ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani" hivyo Zitto bado anatumika tu na ccm?Zitto siyo threat tena kwa ccm ndiyo maana hawasumbuki nae, angekuwa CHADEMA huenda ndiyo angekuwa tishio kuliko hata Lissu.
Sisi tumefurahi, wewe kama umenuna saga chupa ubwie.Mdee ndio angepaswa kueleza ilikuaje maana hatujasikia kwa upande wao, ila siwezi kuamini tu kwamba et mtu kama Mdee alikurupuka tu na tamaa zake. Kuna vitu vinatakiwa viwekwe wazi tuvielewe na sio kufurahia tu hii fukuza.
Tumia hata akili kidogo baasi,una Elimu gani? Chadema ina pigana na adui CCM na shetani jiwe bado.Unajua aliye wapa ubunge ni nani bado ni adui yule yule tunaendelea nayeMmemuacha ADUI yenu mnagombana wenyewe kwa wenyewe.
Wenzenu huko wanacheka tu.
Nyongeza muhimu;Tatizo la watu kama wewe ni kwamba hamjui historia ya kweli ya upepo wa mageuzi uliotuletea mfumo wa vyama vingi. Mmedandia tu gari kama Mrema alivyodandia mageuzi baada ya kuachwa kwenye mataa na CCM wakati wa uchaguzi mkuu wa kwanza mwaka 1995.
Mbowe alikuwa mwanamageuxi toka mwanzo kabisa na mwana Chadema toka kuasisiwa kwake hivyo tafadhali usimfananishe Mbowe na vitu vya ajabu. Mrema pamoja na Dr. Slaa walidandia upinzani wakisaka uteuzi kwa Mrema kugombea Urais kupitia NCCR na Dr. Slaa kugombea Ubunge kupitia Chadema.
Hao wawili hakuna aliyeonja machungu katika mapambano ya kudai mageuzi. Na kama kawaida kwa mamluki kama hawa hivi sasa moja ni CCM-B na mwenzake karudi CCM-A . mama D, jaribu kufanya utafiti na kama hujui kitu uliza. Mh Mbowe ni mwana mageuzi wa kweli na alihangaika juani ili wadandiaji kama Mrema na Dr. Slaa wale kivulini.
Tumia hata akili kidogo baasi,una Elimu gani? Chadema ina pigana na adui CCM na shetani jiwe bado.Unajua aliye wapa ubunge ni nani bado ni adui yule yule tunaendelea naye
MATAGA wametulia kimya kama maji ya mtungi,wamepatwa na msiba jameni?Mimi namsifu Mungu na kumshukuru na kumtukuza yeye kwa hekima aliyoiweka kwa MBOWE
Bado akili yako ni haina uwezo wa kupambanua, hutakiwi kuandika kitu hapa nenda Facebook.Pata hii ubunge wa viti maalum upo kikatiba lakini una utaratibu wa kuupata ,SWALI taratibu ni zipi ? Ukiweza kujibu swali hili walau ujinga ulionao utapunguaKwani ubunge wamepewa au viti maalum vipo kikatiba?.
Hata hivyo Mimi Sina maslahi yoyote chadema Wala kwa halima naishi maisha yangu kwa nguvu zangu.
MTAJUANA WENYEWE
Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Bado akili yako ni haina uwezo wa kupambanua, hutakiwi kuandika kitu hapa nenda Facebook.Pata hii ubunge wa viti maalum upo kikatiba lakini una utaratibu wa kuupata ,SWALI taratibu ni zipi ? Ukiweza kujibu swali hili walau ujinga ulionao utapungua
Lyatonga hajafikia mafanikio ya Mbowe kwenye lolote lile so usimlinganishe.
Pili consistency ya CHADEMA kma chama kikuu cha upinzani (Serikali mbadala) haijawahi kuwa overtaken na chama kingime chochote kitu ambachp mrema amefeli.
Mrema amewahi fikisha wabunge 70+? Halmashauri 20+? Kukivusha chama kwenye migogoro mizito?
Mbowe is underrated
Kwenye siasa kuna spectator ion na kuna busy body.Sio Threat kwa ccm kwa sababu gani? au ndio yale aliyowahi kusema Lissu kuwa "ACT hakijawahi kuwa chama cha upinzani" hivyo Zitto bado anatumika tu na ccm?
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa wala sishabikii chama chochote cha siasa mkuu. Wewe endelea kufurahia wala sikuzuii hivyo ndio ulivyoamua kulitazama hili jambo kuwa ni la furaha kwako na ukaishia hivyo,ila mie binafsi ningependa kusikia na upande wa pili wa akina Mdee,waeleze ilikuaje maana mie siwezi kuamini tu kwamba et Mdee na wenzie walikurupuka kwa tamaa zao.Sisi tumefurahi, wewe kama umenuna saga chupa ubwie.
Kamrudishieni Membe uanachama wake.
Sawa muanzilishi wa JAMII FORUM.
Mimi Sina akili wewe
Waliofurahia ni wanaharakati. Siasa za Chadema zimevamiwa na wanaharakati. Hakuna tena uanasiasa.Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Hauhitaji akili kubwa kumfahamu aliye chanzo cha yanayotokea,unahitaji kufungua macho yako yote na utaiona picha kubwa ya mhusika mkuu.Behind the bars.
AWAPELEKE NANI?
mission imekamilika.
Mimi simlaumu halima na sintokuja kumlaumu kamwe.
Angalieni CHANZO.
Chanzo Cha yote Ni NANI?