Cate hotel iko wapi hapa mjini

Cate hotel iko wapi hapa mjini

Wadau habarini ya jioni, poleni na pilika za dar hii, mshamba nimeingia toka mkoani na nimeambiwa Hotel nzuri ya kiwango changu ni CATE HOTEL je hapa mjini iko upande upi maana nimeahidiwa kwenda kula tunda kimasihara!!
Ipo karibu na ikulu ya magogoni
 
watz ndo binadam wajinga zaidi dunian, wanaamin ukitoka mkoani kwenda dar tayar we mshamba or ukiwa hujui kitu fulan tayar unakua mshamba dah bado tupo nyuma sana
Wala sio uongo, huko mikoani bado washamba washamba manake hata ufikiriaji wenu unakuwa wa kianalojia! Kama sio kufikiria kianalojia, angeingia tu Google Search, na angepata location ya hotel husika bila hata kuuliza! Nyie wanaume wa mikoani sijui vp; kupiga bao nyingi mnadhani ndo ujanja!
 
Sawa wewe wa dar sie hata Google hatujui ni kitu gani
 
Back
Top Bottom