MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cos wewe Ni ke lazima hautapenda tu
Me sizipendi sci-fi,romance na comedy comedy nilizipenda mbili tu ya Mr bean na ya Mr bone pekee basiMimi nitaangalia movie categories zote ila category ya Science Fiction (Sci-Fi) inanipa tabu sana kuangalia movie zake. Nilianza kuangalia movie za Sci-Fi za Spider-Man, miaka hiyo Spider-Man ni movie ambayo lazima uitazame, hii ndio ilinifanya nikawa nafatilia Sci-Fi. Kwenye Spider-Man Marvel wametisha sana, ndio movie pekee ya Sci-Fi ninayoifuatilia kila ikitoka japokuwa sipendi Sci-Fi kwa 99%. Nimetazama zote 1, 2, 3, Spider-Man Homecoming, Spider-Man Far From Home, Spider-Man Into The Spider-Verse.
Movie za mwisho za Sci-Fi kucheki tofauti na Spider-Man ni Black Panther, Venom, Terminator: Dark Fate, tena hizi ni baada ya kuongelewa sana nikaona nisipitwe ila hakuna kitu nili-enjoy kuziangalia.
Kuna siku nlimkuta jamaa anacheki movie ya Sci-Fi nimeisahau jina, akaisifia sana niichukue nikaangalie. Nikakaa nae niangalie kidogo nikashangaa kwenye movie jamaa kapiga kengele kichwa alaf bado mzima hana hata jeraha, nilicheka sana nikajiuliza kwanini movie kama hizi wasiziweke tu kwenye category ya comedy. 😂😂😂 Maana jamaa alipiga diving header moja hatari kama Ronaldo.
Kwangu nyingi zinazoonekanaga za comedy hata sionagi kama zinachekeaha eti.Hupendi kuchekeshwa mkuu?
Hipo kwenye hiyo hiyo category.Hivi series kama The Gifted na XMen iko kwenye sci-Fi category eeh?
Hata mimi sipendi za mazombiHata mimi sipendi sci-fi naonaga ni utoto sana, siwezi kabisa kukaa naangalia maroboti ya ajabu ajabu au viumbe vya ma chuma chuma. Ninapenda love stories na zile movies zilizo base kwenye true events kwa mfano Bunnyman, Texas Chainsaw, yan movies za hivo.
Kuna movie za kihindi kali tu mkuumovie zote za kihindi na kinaijeria wanaoziangaliaga nawaonaga wehu
Sent using Jamii Forums mobile app
My name is khanZa kahindi kwa asilimia 90 hapana exception zipo chache kama 3 idiots, my name is khan etc category nyingine kama movie imetumia akili nyingi na story inaeleweka haina shida ilimradi niwe enterteined
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia Drishyam na Andhadhoon, zipo vizuri sana.Za kahindi kwa asilimia 90 hapana exception zipo chache kama 3 idiots, my name is khan etc category nyingine kama movie imetumia akili nyingi na story inaeleweka haina shida ilimradi niwe enterteined
Sent using Jamii Forums mobile app
Horror nzuri sana, raha yake uangalie usiku. 😅Ukitaka nisibanduke kwenye TV tupia vitu kama:
1.The Mummy
2.Wrong Turn
3.Piranha
4.Shark night
5.Timberwoods
6.Hills have eyes
7.Texas chainsaw
8.Final destination
Hizi ni thrillers/horrors ila pia adventure flani kama watu wameenda picnic mara majanga yanaanza kutokea huko porini huwa tamu sana.
Nyingine nazopenda ni romantic movies/comedies ila za ki black americans.
Movie za mkono pia nazikubali ila sio ishu sana kama hilo kundi la kwanzau
Ukiwa na mtoto mzuri pembeni acha tu yani!Horror nzuri sana, raha yake uangalie usiku. 😅