Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah! Nikipataga comedy za wakina Kevin Hart, Will Smith na mwenzie Martin Lawrence kwenye Bad Boys huwa siachi kucheka aiseee.Sci-Fi/Superheroes- siangalii, nishaona Chache kwa sababu maalamu- the amazing spiderman sababu ya actor wake,Black panther sababu ilivuma sana,Spiderman homecoming sababu ya bidada flani, The martian sababu ya actor wake huwa namfuatilia(huwa ni mmoja kati ya favorite actor wangu) Nilijaribu kuangalia Avator,captain america na guardian of the galaxy ila nikakomea robo tu.
Comedy za kizungu- hazinichekeshagi wala sizifurahiagi
Zip za black amerika zenye motherfukaa nyingi mkuu nazipenda ixoUkitaka nisibanduke kwenye TV tupia vitu kama:
1.The Mummy
2.Wrong Turn
3.Piranha
4.Shark night
5.Timberwoods
6.Hills have eyes
7.Texas chainsaw
8.Final destination
Hizi ni thrillers/horrors ila pia adventure flani kama watu wameenda picnic mara majanga yanaanza kutokea huko porini huwa tamu sana.
Nyingine nazopenda ni romantic movies/comedies ila za ki black americans.
Movie za mkono pia nazikubali ila sio ishu sana kama hilo kundi la kwanzau
Kimtindo mkuu siunajua ma Lockdown lazma tujipoozeHahahah! na wewe mwanachama wa kula tunda kimasihara nini mkuu?
Hahahah tafta movie zenye
Tafuta movie zenye Samuel L.Jacksons huyo jamaa kutaja motharfuka ni kama kula lazma atumie hilo neno 🤣🤣🤣