Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mbona unashangaa sana mdee kua mwanachama? Sio binadamu wa kawaida mkuu?laah hauullah toba! Alichora tattoo ya jina la mdee mkononi? Unataka kusema mdee ni mwanachama wa chama hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unashangaa sana mdee kua mwanachama? Sio binadamu wa kawaida mkuu?laah hauullah toba! Alichora tattoo ya jina la mdee mkononi? Unataka kusema mdee ni mwanachama wa chama hilo?
kwani kuna dhambi mkitajana kuanzia juu mpaka chini wakati mnaonekana tu hata msipotajwa na huyu mdada aliyeasi chama lenu?We huoni hapo Catherine yuko na mmewe SAUTI YA ZEGE?
Hahahahakwani kuna dhambi mkitajana kuanzia juu mpaka chini wakati mnaonekana tu hata msipotajwa na huyu mdada aliyeasi chama lenu?
kwani wanachama wa hicho chama ni vigogo wazito mpaka kwenye taasisi nyeti kama ile wawepo ndani? Kama ni hivyo basi mule ndani wapo wengi !Mbona unashangaa sana mdee kua mwanachama? Sio binadamu wa kawaida mkuu?
😂😂😂 Aisee.kwani wanachama wa hicho chama ni vigogo wazito mpaka kwenye taasisi nyeti kama ile wawepo ndani? Kama ni hivyo basi mule ndani wapo wengi !
Oooh lord Jesus 😳🤒Mhhh, ni shoga ake au bwana ake?
Huyu sio tomboy?Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi?
Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo.
Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au mtu aliyeachika kwenye uchumba.
Juzi juzi nilimuona anafoka kweli kweli mpaka waandishi wa habari wakatoka baru kwa kuhofia kung'atwa na mijino ya huyu binti mwenye ghadhabu.
Kwani ana cheo gani huyu huko Tanganyika? Ni waziri au mtetezi wa demograsia?
Anaonekana ana munkari mkali, anabwata hovyo huku akiambatanisha takwimu za kubumba na kutoa vitisho visivyo na uzito wa hoja.
Naagiza wanajeshi wa Tanganyika wamkamate huyu. Atakuja kudhuru watu.
Kule kubwata kama ng'ombe atakuja kung'ata watu na kuwasababishia TETENUS au corona.
Kwani ana elimu gani? Ameishia la ngapi?
Hata mie najiuliza sanaHuyu sio tomboy?
Tulia wee shoga, makasiriko yote kisa kawataja na vyama vyenu vya kufirn.Kwani ana cheo gani huko Tanganyika?
Kwa mamlaka yepi anabwata kiasi hicho?
Aking'ata watu itakuwaje?
Picha yake akiwa ake kenua meno kama ngiriWe huoni anavyobwata na hiyo mijino yake mikali?
She has extremely sharp teeth like a WARTHOG.
Mijino ya ngiri aliyonayo akikubaraza nayo kwenye uso ni TETENUS moja kwa moja.