Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.

Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.

Hii ni dalili tosha kuwa CCM sasa hivi kuna moto unawaka chini kwa chini.

Hakuna amani tena.

Tuombe Mungu azidi kuukoleza na sisi wazalendo kazi yetu ni kuongezea Kuni tu.

Your browser is not able to display this video.
 
Subiria wakutupia makoko ili ujaze tumbo maisha yasonge
 
Nadhani ni Catheline Magige
 
Huyu anajikomba tu
Kwanza akili ndogo tu
Hawezi na siyo level ya mpina
Aache kujipendekeza

Ova
 
Huyu mama kama ali vaa uso wa paka kamuiba mume wa mtu sioni la ajabu akitumia lugha za matusi. Ndiyo silaha ya mwisho ya wana siasa wa Ccm
Na ukifuatilia kwa makini, uta kuta kuna kikundi kime andaliwa kumfanyia Mpina hayo mambo, ili kuficha maovu yao.
Na ni wale wezi, watoto pendwa wa Mama
 
Catherine ni moja kati ya wabunge wa hovyo kabisa. Huenda yuko pale alipo kwa sababu ya kuki.........mbesha!
Ili tuendelee tuyakatae mambo ya hovyo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…