Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kimsingi sijasikia matusi lakini nilichokiona ni kijana mmoja aliyekosa akili akipayuka bila kutafakari kuwa anavunja sheria za uchaguzi....Mbunge viti maalum Arusha Catherine Magige amvaa kwa matusi mbunge mwenzake.
Amemshambulia kwa matusi mbunge Mpina utadhani wapo vyama tofauti.
Hii ni dalili tosha kuwa ccm sasa hivi kuna moto unawaka chini kwa chini.
Hakuna amani tena.
Tuombe Mungu azidi kuukoleza na sisi wazalendo kazi yetu ni kuongezea Kuni tu.
View attachment 2877418
Kampeni za urais ndani ya CCM zitaondoka na roho za watu