Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

Inaaminika Mbowe ataiba kura na Lisu atakuwa ameibiwa kura. Tuendelee kusubiri maana usiku haukawii kucha
 
Mtu makini na mwanamageuzi wa kweli hawezi kuwaunga mkono hao madalali waramba asali
 
Haiingii akilini kuwa Katherine Ruge ni team FAM.
 
Mbowe hana maono mapya juu ya chama. Lisu asiposhinda bas i CHADEMA itapoteza nuru nakuhakikishia hilo

Watu wako teyari kufa kwa ajili ya chama, wanakipenda na wana uchungu. Tunapoteza hilo pia
Lisu ni mbeligiji hatuwezi kumpa chama
 
..Catherine Ruge alijitahidi na ana msimamo.

..Mwenyekiti ajaye asimuache akapotea kisiasa.
Huyu alikataa kuwa COVID-19. Aliongoza Bawacha kwa mambo mengi ya kudai haki
BAWACHA imefika hapo na kuwa nguzo ya CDM akiwa na mchango sana.
Timu itakayomtumia itapata faida sana.
 
Mbowe hana maono mapya juu ya chama. Lisu asiposhinda bas i CHADEMA itapoteza nuru nakuhakikishia hilo

Watu wako teyari kufa kwa ajili ya chama, wanakipenda na wana uchungu. Tunapoteza hilo pia
Wakajenge chao kama Zitto, watuletee chama cha kanda ya ziwa.
 
..Catherine Ruge alijitahidi na ana msimamo.

..Mwenyekiti ajaye asimuache akapotea kisiasa.
Huyu mama wanasema ni timu Mbowe lakini hata kama ni kweli basi angalau hana kauli chafu. Halafu ni mpiganaji mzuri sana wa upinzani
Mbowe hana maono mapya juu ya chama. Lisu asiposhinda bas i CHADEMA itapoteza nuru nakuhakikishia hilo

Watu wako teyari kufa kwa ajili ya chama, wanakipenda na wana uchungu. Tunapoteza hilo pia
Wengi ya wanaomshabikia Mbowe ni CCM. Wanajua Mbowe akishinda basi hakutakuwa na upinzani wa kweli. Kwa kifupi wa kuiua au kuiponya CHADEMA ni Mbowe. Akikubali kufuata mipango ya Samia kulazimisha ushindi basi chama kinakufa rasmi.
 
Kuna jambo naliona
Mbowe anaweza kutangazwa kushinda uchaguzi huu kwa kuiba kura. Kisha atatatangaza kumwachia madaraka Lissu iliaonekanee amefanya hivyo kwa mapenzi ya CHADEMA.
Anamuachia kwa utaratibu upi ??
 
..nadhani mbowe kaahidiwa viti vichache vya ubunge, na yeye ameridhika.

..tatizo ni kwamba Mama Abduli haaminiki.

..watu wake wanamdharau, wamepuuza 4R, inawezekana kabisa wakapuuza na ahadi yake kwa Freeman Mbowe.
 
Ndivyo ilivyo. Kaahidiwa viti na some sort of power sharing. Hata kama atapewa kama alivyoahidiwa lakini hii ni hongo mbaya sana sana kwenye demokrasia. Kama Samia anataka kuwashirikisha wapinzani au kuwa na upinzani kwa nini asiachie wananchi wakaamua wenyewe kwa kuchagua viongozi wanaowataka? Hivi wakipewa viti watakuwa ni wapinzani au watakuwa ni vibaraka? Wanataka tuwe ka Zanzibar ambako upinzani umekufa na yamebakia maigizo ya kuwadanganya wananchi huku viongozi wakifaidi ving'ora na fedha za umma?
 
Huyajui mambo ya chaguzi wewe.
Tuulize sie tuliozoea kugombea.
Upepo wa uchaguzi huwa unayumba yumba hadi siku ya tukio.
So usidanganywe kwa hizo data.
Wapiga kura ni vigeugeu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…