Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Keyboard warriors.BAVICHA ndio hawamtaki kabisa mwamba. Huyu hata akipita tunapindua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keyboard warriors.BAVICHA ndio hawamtaki kabisa mwamba. Huyu hata akipita tunapindua
Mtu makini na mwanamageuzi wa kweli hawezi kuwaunga mkono hao madalali waramba asaliCatherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo
Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33
Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa kuambulia wajumbe wawili tu kati ya 33
Mpaka sasa joto la uchaguzi limepanda kuliko kawaida na msishangae mkamuona Mwamba ndani ya UHURU FM akiomba kura. Amepanga kusafiri mwendo wa ngiri kwenda kwenye vyombo vya habari kuomba kura baada ya kubaini hali ni tofauti kabisa.
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Aambapo:
Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18
2. BAWACHA 33
- TAL 17
- FAM 16
3. BAVICHA 33
- TAL 31
- FAM 2
Jumla TAL 63 na FAM 36.
Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo
Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33
Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa kuambulia wajumbe wawili tu kati ya 33
Mpaka sasa joto la uchaguzi limepanda kuliko kawaida na msishangae mkamuona Mwamba ndani ya UHURU FM akiomba kura. Amepanga kusafiri mwendo wa ngiri kwenda kwenye vyombo vya habari kuomba kura baada ya kubaini hali ni tofauti kabisa.
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Aambapo:
Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18
2. BAWACHA 33
- TAL 17
- FAM 16
3. BAVICHA 33
- TAL 31
- FAM 2
Jumla TAL 63 na FAM 36.
Lisu ni mbeligiji hatuwezi kumpa chamaMbowe hana maono mapya juu ya chama. Lisu asiposhinda bas i CHADEMA itapoteza nuru nakuhakikishia hilo
Watu wako teyari kufa kwa ajili ya chama, wanakipenda na wana uchungu. Tunapoteza hilo pia
Mbowe ni msaliti hatuwezi mpya chamaLisu ni mbeligiji hatuwezi kumpa chama
Huyu alikataa kuwa COVID-19. Aliongoza Bawacha kwa mambo mengi ya kudai haki..Catherine Ruge alijitahidi na ana msimamo.
..Mwenyekiti ajaye asimuache akapotea kisiasa.
Wakajenge chao kama Zitto, watuletee chama cha kanda ya ziwa.Mbowe hana maono mapya juu ya chama. Lisu asiposhinda bas i CHADEMA itapoteza nuru nakuhakikishia hilo
Watu wako teyari kufa kwa ajili ya chama, wanakipenda na wana uchungu. Tunapoteza hilo pia
😅😅😅 Shenzi weweNyie pigeni hesabu zenu za Kalkuleta kama Yanga ila mkiingia graundi mtalia kama Yanga! Ahahahahaha!!!
Huyu mama wanasema ni timu Mbowe lakini hata kama ni kweli basi angalau hana kauli chafu. Halafu ni mpiganaji mzuri sana wa upinzani..Catherine Ruge alijitahidi na ana msimamo.
..Mwenyekiti ajaye asimuache akapotea kisiasa.
Wengi ya wanaomshabikia Mbowe ni CCM. Wanajua Mbowe akishinda basi hakutakuwa na upinzani wa kweli. Kwa kifupi wa kuiua au kuiponya CHADEMA ni Mbowe. Akikubali kufuata mipango ya Samia kulazimisha ushindi basi chama kinakufa rasmi.Mbowe hana maono mapya juu ya chama. Lisu asiposhinda bas i CHADEMA itapoteza nuru nakuhakikishia hilo
Watu wako teyari kufa kwa ajili ya chama, wanakipenda na wana uchungu. Tunapoteza hilo pia
Of course ni surprise ile. Kumtangaza mzazi wa Kinana kuwa ndiyo mrithi wake, ni surprise.😂 Ndio Makala anasema atatangaza suprise.
Mchezo kwishaJumla TAL 63 na FAM 36.💪🏿💥👌🏿
Hahahah Mbona leo imeisha?COVID 19 wanajiunga CCM Leo 😂🌹
Anamuachia kwa utaratibu upi ??Kuna jambo naliona
Mbowe anaweza kutangazwa kushinda uchaguzi huu kwa kuiba kura. Kisha atatatangaza kumwachia madaraka Lissu iliaonekanee amefanya hivyo kwa mapenzi ya CHADEMA.
Huyu mama wanasema ni timu Mbowe lakini hata kama ni kweli basi angalau hana kauli chafu. Halafu ni mpiganaji mzuri sana wa upinzani
Wengi ya wanaomshabikia Mbowe ni CCM. Wanajua Mbowe akishinda basi hakutakuwa na upinzani wa kweli. Kwa kifupi wa kuiua au kuiponya CHADEMA ni Mbowe. Akikubali kufuata mipango ya Samia kulazimisha ushindi basi chama kinakufa rasmi.
Ndivyo ilivyo. Kaahidiwa viti na some sort of power sharing. Hata kama atapewa kama alivyoahidiwa lakini hii ni hongo mbaya sana sana kwenye demokrasia. Kama Samia anataka kuwashirikisha wapinzani au kuwa na upinzani kwa nini asiachie wananchi wakaamua wenyewe kwa kuchagua viongozi wanaowataka? Hivi wakipewa viti watakuwa ni wapinzani au watakuwa ni vibaraka? Wanataka tuwe ka Zanzibar ambako upinzani umekufa na yamebakia maigizo ya kuwadanganya wananchi huku viongozi wakifaidi ving'ora na fedha za umma?..nadhani mbowe kaahidiwa viti vichache vya ubunge, na yeye ameridhika.
..tatizo ni kwamba Mama Abduli haaminiki.
..watu wake wanamdharau, wamepuuza 4R, inawezekana kabisa wakapuuza na ahadi yake kwa Freeman Mbowe.
Huyajui mambo ya chaguzi wewe.Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo
Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33
Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa kuambulia wajumbe wawili tu kati ya 33
Mpaka sasa joto la uchaguzi limepanda kuliko kawaida na msishangae mkamuona Mwamba ndani ya UHURU FM akiomba kura. Amepanga kusafiri mwendo wa ngiri kwenda kwenye vyombo vya habari kuomba kura baada ya kubaini hali ni tofauti kabisa.
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Aambapo:
Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18
2. BAWACHA 33
- TAL 17
- FAM 16
3. BAVICHA 33
- TAL 31
- FAM 2
Jumla TAL 63 na FAM 36.
Watasamehe maslahi yote yanayoambatana na wanachofanya sasa?COVID 19 wanajiunga CCM Leo 😂🌹
Zitto Kabwe alifukuzwa Chadema na Bunge lilimlipa Haki zake ZOTE 🐼😂😂Watasamehe maslahi yote yanayoambatana na wanachofanya sasa?