Catherine Ruge: Dr. Kigwangala usinipe vitisho, mjibu CAG

Kigangwala alipaswa awe muigizaji Tu
Uwaziri ni kumpa mzigo mzito...

Halafu kwanini asiseme Marehem ndo alimpigia simu kuagiza awalipe wasanii??
Hata kama sio kweli Nani atabisha??
Kipindi hiki kila mtu anamsingizia marehem ya kweli na yasiyo ya Kweli
 
simu itafatiliwa kuhakikisha kama mi kweli aliambiwa hayo maneno.na kama hakuambiwa jua hapo atakuwa na kesi ya uhaini kwa amiri jeshi mkuu na nadhani unaijua adhabu ya uhaini ni nin
 
Safi kabisa
 
simu itafatiliwa kuhakikisha kama mi kweli aliambiwa hayo maneno.na kama hakuambiwa jua hapo atakuwa na kesi ya uhaini kwa amiri jeshi mkuu na nadhani unaijua adhabu ya uhaini ni nin
Je kama walikutana Ikulu akapewa maelekezo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…