Catherine Ruge: Dr. Kigwangala usinipe vitisho, mjibu CAG

Recycle bin, itahusika kutoa mjeresho wa mazungumzo ya maagizo hayo ila mahakamani
 
Ni ujinga kumtupia marehemu mizigo ambayo si yake.Ndo maana alikuwa anatuambia kila kukicha Tz tuna viongozi mizigo Kama akina Asaad.Kwa nn wakati Magu Yuko hai hakutoa hizo challenges Kama anajiamini.Ni Bora ikakaa kimywa ukaonekana una busara kuliko kupayuka.Na huo mchezo wa kutumia taasisi za dini kusema watu Mh Rais awe making.Mwacheni Magu apumzike kwani hakuna mengine ya kujadili.Hakuna msafi nchi hii hata baadhi ya wasanii nao ni corrupt
 
Kigwangala akamatwe ahojiwe, kitendo alichikifanya Waziri Ndumbaru cha kumsimamisha kazi Bi Devotha Mdachi ni uonevu na hakikubaliki hata kidogo.Fisadi Kigwangala lipo tu linadunda tena limo bungeni si alikamate? Huyu Waziri hafai, Bi Devotha Mdachi hawezi kuwa mbuzi wa kafara huku mafisadi yakidunda tu mitaani, tutapaz sauti popote haki itendeke.
Mawaziri acheni kunyanyasa watu wasiokuwa na hatia.
 
Kigwa jibu hoja za CAG - Kama ulipiga sema tu mbona wenzako wanasema !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…