Catherine Ruge: Dr. Kigwangala usinipe vitisho, mjibu CAG

Kigwa is too cheap sometime, hii mikwara ya kitoto unamtisha vipi mtu mzima anaejitambua? ila jamaa wakati mwingine ni kama msanii fulani sio wakumchukulia serious sana.

Huwa nawaza sijui ilikuwaje mpaka akapewaga wizara kipindi kile cha Jiwe. Jamaa ni wa kipekee kwa kweli. Kama hamna kitu tu pale. Very immature sijui na ushamba!
 
Hivi watawala wetu huwa wanawaokota wapi hawa wahuni?
Ethics hawana, huyu jamaa ni ushamba plus ujinga kila kukicha!

Yani kila mwenye akili timamu anauliza swali kama hili. Wa hivi wanafikaje kuwa mawaziri? Nchi hii kweli kiboko [emoji1787]
 
Acha ujuha wewe Mataga,wakati watu wanabambikiwa kesi,kutekwa kupotezwa na kupigwa risasi kwa kumkosoa mungu wenu ulikuwa hujazaliwa?
 
🤣🤣🤣kila baya ni John tu daaah
 
Kama mambo ndio yalikuwa hiv huko nyuma bac Takukuru na vyombo vya ulinzi mnatakiwa muitendee haki mama Tz muwachunguze walio wahi kushika nafasi
Your browser is not able to display this video.
 
Kigwangala mzee wa kwenda study tour Israel na warembo wa Travel agencies kujifunza Utalii. Anajificha kwenye kichaka cha uislamu wakati ni mpigaji. Huyu ilibidi awe ndani kipisha uchunguzi dhidi ya tuhuma za ubadhirifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…