Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yes mam ndie huyoo huyoo sasa sjui wanamwita Baba mama au dada
Duuuh kwahiyo bado yupo na mama ake Kim, sasa katolewa zagazaga kawekewa za kike au? Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mam ndie huyoo huyoo sasa sjui wanamwita Baba mama au dada
huyo uliyemtaja hajajibadilisha bana wanamkaza hivyohvyo kama ni yule wa humu.
Duuuh kwahiyo bado yupo na mama ake Kim, sasa katolewa zagazaga kawekewa za kike au? Duh
nafikiri bado wapo wote ha ha ha hha kuhusu kutolewa hiyoo sijawahi sikia
Ha ha ha sijui bado anakazwa....eeeh kazi ipo
Ha hahahahahahahahahahahaha yo crazy niqqa! Popoma alivyo na msura wake wanamkazaje sasa?
Hivi aliekewaga na Bikra?
Yalaaaaa,mashauzi yote kumbe mbovu?Ha hahahahahahahahahahahaha yo crazy niqqa! Popoma alivyo na msura wake wanamkazaje sasa?
Yalaaaaa,mashauzi yote kumbe mbovu?
Nina hasara mimi wajameni na kaka huyu popoma,Mnyarwanda wa wapi mbaya?
Mimi mwenzio sinaga kiburi,ananitukana na kunikashifu kwelikweli ila bado nampenda tu.Si shoga yako wewe, staki hata kumuona, jitu lina lugha chafu kama makalio yake
Mimi mwenzio sinaga kiburi,ananitukana na kunikashifu kwelikweli ila bado nampenda tu.
Popoma huwezi kumchukia,leo atakukera kesho atakuvunja mbavu....
Leo akipitia huu uzi tutakomaje?
Hahahahahaaa sijui yuko wapi leo,jiandae akirudi umekwisha---- sana shoga yako, akija mwambie apunguze kusaula ktk vibao kata maana tangu awe ana hudhuria ameharibika sana
Hahahahahaaa sijui yuko wapi leo,jiandae akirudi umekwisha
Kosa ulilolifanya ni kuji-expose kwake.Haha likija litakomaa na mambo ya Lugalo, jinga sana lile shoga lako
Kosa ulilolifanya ni kuji-expose kwake.
Mimi mwenzio urafiki wangu nae mwisho JF.
Anabakia kuhisia tu na kutumia post zangu kama weapon ya kunifanyia personal attack.
Hahahahaaa mimi nilidhani umejiexpose kwake?Hakuna popote nilipo jiexpose sema story tulizokua tunapiga akahisi ila hamna lolote la maana analolijua shoga yako yule
Hahahahaaa mimi nilidhani umejiexpose kwake?
Kweli popoma akili zake anazijua mwenyewe.
Hahahaaaaa mimi nampendea vituko vyake tu.Kuna nyakati najiuliza hua anawaza kwa kutumia kona ipi ya mwili wake...