Catylin Jenner atajutia kumkufuru Mungu

Catylin Jenner atajutia kumkufuru Mungu

nyie mnamtafuta popoma eeh, atawapa matusi yaliyotukuka ngoja aje hapa
 
Nenda shule, acha kuangalia upuuzi wa Instagram kutwa nzima. Elimu itakusaidia ukubwani ndio maana babaako anahangaika kukulipia Ada. #YouHearMe
Shule tushafunga mkuu..mpaka mwezi wa kwanza..mzazi halipi ada tena umesahau elimu bure
 
Juzi kati alituvunja mbavu mimi, Mbimbinho na wengineo kwa story za timbwili la Mzee wa TISS mstaafu,uliiona?
Aisee nilicheka sana.

Hahahaaaa, huyo jamaa hafai, yaani nikiona tu post yake najua usalama wa mbavu hamna.., jamaa fix hatari
 
Hahahaaaa, huyo jamaa hafai, yaani nikiona tu post yake najua usalama wa mbavu hamna.., jamaa fix hatari
Umeona mambo yake kule kwenye uzi wake wa mahojiano ya Koffi Olomide na clouds?
Mbavu zinaniuma.
 
Hawezi kujutia huyo,
Ila anaumia why people hawataki kumuaccept yeye kama mwanamke??
Wengine wamekataa kumuita jina lake jipya 'Catylin'
Wakimuita Bruce hua anatokwa na machozi kwa uchungu,

Eeeeh Mola wetu tuepushe sisi na vizazi vyetu juu ya maasi haya.
 
Ninapoona hilo jina Bruce Jenner huwa linanichefua limekaribiana na Jina la Bruce Tegner wazee wa judo watanielewa
 
Back
Top Bottom