Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Does not matter......... unachotakiwa kufanya ni kutoa maelekezo....... what difference does it make iwe imemtokea yeye au mtu mwingine...???Nadhani hiki kisa umekitoa somewhere, na haijakutokea
Jamaa ajieleze mapemaaa kwa mkewe.......maana akiacha wambeya wampelekee.......itamfikia ikiwa na chumvi nyingiiiiiii........... Na kuhusu kusemwa kwa bosi sidhani kama ni kitu cha kuogopa, labda kama kilichotokea kinavunja sehemu ya sera ya mahala anapofanyia kazi. Pamoja na hivyo........ kama ilivyokwisha semwa hapo juu..hiyo video si itaonyesha jinsi alivyokuwa analazimishwa...??? Hivyo hana haja ya kuhofu wala kuliwa hiyo 2.5m.lakini vipi wewe mchangowako? unamtazamo gani juu ya hali ha huyu jamaa?
Nanukuu...
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa Dar. Ni muajiriwa yapata miezi mi 4 sasa. Tangu nianze kazi hapo kuna dada ambaye ameonyesha kila dalili ya kutaka kuwa na mimi kimapenzi! Ninafamilia na watoto kwahiyo sipendi kujihusisha katika mambo kama hayo. Siku moja wakati wa sherehe ya kuwapongeza baadhi ya wafanyakazi huyu dada alinibana katika kona akataka kunibusu (busu kubwa) lakini nilimzuia na hakufanikiwa!
Siku mbili baadae nilipokuwa nikiingia kazini asubuhi kwa kutumia 'elevator' mambo yalikuwa sivyo kwani dada huyo aliingia katika 'elevator' ambayo mimi nilikuwemo kupitia floor ya 2! Kwabahati mbaya tulikuwa wawili tu! Baada ya kuingia na kuanza kuelekea floor ya 6 hapo katikati alinikumbatia ghafla huku akinibusu kwa lazima! Kitendo hicho kilinihuzunisha kwani halikuwa lengo langu pia nilijua mule ndani ya 'elevator' kuna kamera za ulinzi!!
Ilipofika saa kumi jioni mtu wa IT wa kampuni yetu alinipigia simu kwamba anamazungumzo nami na aliniambia kwamba ameona vyoote 'tulivyofanya katika elevator'
Ameniomba nimpe Tshs. 2.5M haraka iwezekanavyo ili aweke kapuni hizo picha na kama sivyo basi atazipeleka kwa bosi!!!
Sasa mimi uwezo wangu ni mdogo kwani hizo pesa sina...
Je, nikambembeleze huyu IT amezee? Nikajikamatishe kwa bosi na kumueleza ukweli? Je, mke wangu akijua itakuwaje kwani nashindwa namna ya kumuelezea!!
Naomba msaada wenu...
Na huyo dada je, yeye ameombwa atoe nini ili asipelekwe kwa boss?... Ameniomba nimpe Tshs. 2.5M haraka iwezekanavyo ili aweke kapuni hizo picha na kama sivyo basi atazipeleka kwa bosi!!!
Aaaaamen! hii itasaidia kidogo(labda saana)Pole sana ndugu yangu kwa Majaribu haya.Ninajua jambo moja,kweli itakuweka huru.Go tell truth and the peace of the Lord will be with you.
mjinga huona kila kitu ni ujinga! Nothing personal....
ujinga mtupu?
Pole sana ndugu yangu kwa Majaribu haya.Ninajua jambo moja,kweli itakuweka huru.Go tell truth and the peace of the Lord will be with you.
mtu ameomba ushauri wewe unasema ujinga mtupu na nikiangalia hapo wewe ni 'senior expert member'.....amazing!!grow up!sio lazima uchangie kila kitu ili kuosha kinywa tu.be considerate!!!