mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Habari nilizozipata, huko Dodoma, wanafunzi wa Bachelor wote wamegoma fanya mitihani ya end of semister.. Kisa imetungiwa CBE dar..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafunzi wanajuaje mtihani unakotoka na inawasaidia nini sasa ?
unajua kuna vyou vinabeba vilaza wengi sasa hao ni wasumbufu sana in Academic issues.Hapo sasa ndo ujue ni upuuzi mtupu.
ishu ni kwamba unagomea nini ?mtihani kutungiwa Dar?ulitaka utungiwe LUDEWA?kwani kugoma si katika haki za msingi?! kama ilivyokuandamana na kulala barabarani!
unajua kuna vyou vinabeba vilaza wengi sasa hao ni wasumbufu sana in Academic issues.
Habari nilizozipata, huko Dodoma, wanafunzi wa Bachelor wote wamegoma fanya mitihani ya end of semister.. Kisa imetungiwa CBE dar..[/QUOTE]
Hapo kwenye underline hapo kama ndo sbb pekee, bac 2mekwisha...................
... wamegoma fanya mitihani ya end of semister.. Kisa imetungiwa CBE dar..
Basi kwa maana hiyo wa Dodoma watakuwa wamegoma kwa sababu wanapinga kufanya mtihani uliovuja!Pia nimepata habari mpya.. CBE Dar Mitihani imeahilishwa kwa kuvuja leo asubuhi... .
unajua kuna vyou vinabeba vilaza wengi sasa hao ni wasumbufu sana in Academic issues.