CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12

Hili jambo dogo sana, nadhani hii taasisi haijui hata malengo yake, kuna siku mtu akije ga jilko la shule ya bweni, watakuja mbele kuita ni PPP
 
Bado unayo safari ndefu ya kujifunza.
Nilikuwa nimendika tusi nimelifuta, uwe mwerevu wa kufafanua badala kuandika as if layman. Nenda jifunze kwa JP Morgan na PPP ya railway. Usipende kudakia usivyovijua fisadi mkubwa. Tunamuunga mkono Mh. Kafulila, tumtie moyo na kumsapoti. Miradi mingi yenye PPP msimamizi anakuwa ni private, na private siku zote wanataka ku maximize profit at the same time public sector inataka ku maximize utoaji wa huduma unakuta mafanikio ya miradi ni makubwa. Hiyo ya kifisadi ka ulivyoninga inaharibiwa toka mwanzo yaani unakuta in fact aliyeingia ubia na serikali hana kabiss uwezo yaani ni dalali nadhani kosa hilo lilifanyika na Mzee Mkapa na Kigoda yaani watu waliuziana/kupeana viwanda wakiwa hawana ujuzi wala uwezo wa kuviendesha. PPP inataratibu zake. Mh. Kafulila yupo serious na utaratibu na taratibu ndiyo maana we expect no au few failures kwa sababu ya umakini.
 
Maprofesa na watu wanapoteza muda kuongelea ujenzi wa mabweni.

Hahahahaha, hivi vyuo ndio maana hata elimu wanazotoa zimekuwa changamoto.
Karne ya 21 mnakaa kujadili ujenzi wa mabweni? na kujiona magenius.

dah aisee.
Hahahaha nenda lecturer theatre utachoka, yaani facilities nyingi za madarasani ovyo sana, halafu mijitu imekomaa na eti mabweni 😂
 
Kama asipoelewa hii basi amtafute Kafulila mwenyewe
 
Huyu nae ni chizi zile km2000 za PPP zipo wapi Hawa ndo wanao mwingiza madam king
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Hili lipo chini ya Private wenyewe hata kama ni wewe unapesa changamkia tu fursa
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
PPP = private public partnerships
Hapo ni taasisi yenyewe za serikali kuchangamka na wakubwa wa taasisi hizo wabadili mitazamo yao hukusu sector binafsi maana hii Tanzania hawa wakuu wa taasisi wanachukulia sectors binafsi kama mpinzani wao..
Unaweza kwenda na wazo nzuri halmashauri kwa ajili ya shule au vituo vyao vya afya wao wakakuona kama jasusi vile nadhani wanabanwa sana huko juu ni kama huwezi kufanya kitu bila mwanasiasa huko juu kujua hicho kitu kina maslahi gani kwake kwanza..
 
Maprofesa na watu wanapoteza muda kuongelea ujenzi wa mabweni.

Hahahahaha, hivi vyuo ndio maana hata elimu wanazotoa zimekuwa changamoto.
Karne ya 21 mnakaa kujadili ujenzi wa mabweni? na kujiona magenius.

dah aisee.
Kha..unanongwaa isee!
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Sasa hapo ni Kafulira ndio katoa wazo au ubunifu wa CBE?

Samia ni pro-business ndio maana anaweka watu wanaweza kujali biashara
 
Nakubaliana na wewe,
Serikali yenyewe ibadili mentality
 
Maprofesa na watu wanapoteza muda kuongelea ujenzi wa mabweni.

Hahahahaha, hivi vyuo ndio maana hata elimu wanazotoa zimekuwa changamoto.
Karne ya 21 mnakaa kujadili ujenzi wa mabweni? na kujiona magenius.

dah aisee.
kweli wewe nyau,
 
Mimi PPP Asikuwahi kuijua ila Sasa kwa KAFULILA
Sasa utaijuaje wakati hufuatilii mambo ya Uchumi na Biashara?

Kama sio Magu kuvuruga mambo hata Sgr ilikuwa ijengwe Kwa PPP.

Hii sera imekuwepo Toka awamu ya 4 na imeboreshwa awamu ya 5 ambapo imeundwa Wizara maalumu ya uwekezaji na mipango ndiko kina Kafulira wapo ila yeye ni mshauri wa Rais kwenye PPP mwenye Cheo Cha Kamishna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…