CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12

Hongera CBE
 
Samia hana mpinzani
 
Hili jambo dogo sana, nadhani hii taasisi haijui hata malengo yake, kuna siku mtu akije ga jilko la shule ya bweni, watakuja mbele kuita ni PPP
Duuuh ila nchi ngumu sana hii
 
Hii ni nzuri sana kwa Taifa, bajeti ni kuduchu sana
 
Daaah
 
Kafulila huu ujanja kautoa wapi?
 
Najaribu kuwaza eneo lenyewe la CBE campus ya DSM na hostels zenye uwezo wa watu 12,000
Kwa nini. Umesahau kuna nyumba za NHC nyingi karibu na eneo hilo? Humo humo siku hizi wanaweza kupitishia habari za ubia na upigaji mwingi tu!
Upigaji ni kwenye mkataba.Vilio vya mikataba mibovu nchi hii naamini umewahi kuvisikia.
Jambo la kusikitisha ni kuona watu wanasifu tu bila hata kujuwa hizo PPP taratibu zake zipo vipi. Hii tabia ya kusifu tuuu, bila ya kujiridhisha na unachojuwa kuhusu jambo unalo sifia ni ujinga mkubwa sana.
 
Umenena vyema,mkuu
 
Bora wewe Kafulila unapiga kazi tu
 
Yaani unachuki binafsi na Mh. Kafulila. Pole sana. Ungejua unaongea na guru wa project finance na PPP wala usingehangaika kuandika hizo chuki zako. I know the ins and out ya all PPP.
 
Yaani unachuki binafsi na Mh. Kafulila. Pole sana. Ungejua unaongea na guru wa project finance na PPP wala usingehangaika kuandika hizo chuki zako. I know the ins and out ya all PPP.
EEEenHEEEeeee!
Eti 'guru'! Nchi hii tumepotea kwelikweli.
Guru hata huwezi kueleza kitu unabaki kutoa sifa tu kwa mtu?
Huna u'guru' wowote, nikitazama tu michango yako yote humu JF.
 
Yaani unachuki binafsi na Mh. Kafulila. Pole sana. Ungejua unaongea na guru wa project finance na PPP wala usingehangaika kuandika hizo chuki zako. I know the ins and out ya all PPP.
Kuwa guru wa project finance na PPP sawa na hongera kwa hilo. Shida ni kwamba PPP nyingi ni ulaji kwa urefu wa kamba zao eg Mlimani City. Soma report ya CAG
 
Kuwa guru wa project finance na PPP sawa na hongera kwa hilo. Shida ni kwamba PPP nyingi ni ulaji kwa urefu wa kamba zao eg Mlimani City. Soma report ya CAG
Shida ni kuwa enzi zile watalaamu walikuwa wache. Unajua best PPP inatakiwa iwe na mwanasheria mzuri na mhasibu mzuri, shida ya bongo kumkuta mtu ka combine vyote ni ngumu. Hivyo wengu hupigwa
 
Shida ni kuwa enzi zile watalaamu walikuwa wache. Unajua best PPP inatakiwa iwe na mwanasheria mzuri na mhasibu mzuri, shida ya bongo kumkuta mtu ka combine vyote ni ngumu. Hivyo wengu hupigwa
Shida siyo wataalamu,shida ni uzalendo mkuu.
 
Una maana watumishi waliopewa dhamana kichwani ni kweupe.
Siyo hivyo, ni kukosa tu elimu sahihi. Mi siamini kusema kuna mtu haba akili, ni kukosa tu exposure ya jambo husika. Chukulia mfano Albert Einstein ambaye alikataliwa na mwl kwa kusema ni mjina, lakini kaja kufanya mambo mazuri. Kinachotakiwa ni kufanya capacity building kama alivyofanya Mzee Utouh alipokuwa CAG, aliona wakaguzi walikuwa vilaza akaanzisha mandatory capcity building, na exams juu yake leo angalia report za CAG zipo kiwango balaa
 
Wenye elimu sahihi mbona wako wengi tu na mimi ni mmoja wao ila mfumo wa kuteuliwa duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…