CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12

Wenye elimu sahihi mbona wako wengi tu na mimi ni mmoja wao ila mfumo wa kuteuliwa duh.
Ni kweli kabisa. Moja ya kitu ambacho mkoloni kafanikiwa ni kuhakikisha wananchi wananyimwa madaraka. Hivyo vyeo ni kifo ndugu yangu. Mshukuru Mungu hapo ulipo, kitafute tu maana kila kitu kinawezekana
 
Shida hapo ni gharama hiyo wanafunzi wataiweza?
 
Haya mambo ya ubia alianza kufanya Mkapa mkasema mkapa anauza Nchi kwa private sector! Watanzania sijui mnataka nini!?
 
Ufisadi gani ? Ninavyowaza, private sector, atajenga, ila eneo ni la chuo, wataendesha wote kwa mkataba, sasa upigaji gani hapo !
Upigaji utakuwa kwenye mkataba, na serekali ikivunja mkataba ya Upigaji inashitakiwa!!
 
Yaani unachuki binafsi na Mh. Kafulila. Pole sana. Ungejua unaongea na guru wa project finance na PPP wala usingehangaika kuandika hizo chuki zako. I know the ins and out ya all PPP.
Wenye mitaji yao ndiyo Ma guru wa project, na wao ndiyo wenye nguvu kwenye mkataba!!
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Hoja yako ni nzuri nakuunga mkono
 
Ni kweli kabisa. Moja ya kitu ambacho mkoloni kafanikiwa ni kuhakikisha wananchi wananyimwa madaraka. Hivyo vyeo ni kifo ndugu yangu. Mshukuru Mungu hapo ulipo, kitafute tu maana kila kitu kinawezekana
Sawa mkuu ila kama vyeo ni kifo mbona wanahangaika sana kusaka teuzi. Jana ulimuona yule mama alivyojigaragara chini kule kusini?
 
Maprofesa na watu wanapoteza muda kuongelea ujenzi wa mabweni.

Hahahahaha, hivi vyuo ndio maana hata elimu wanazotoa zimekuwa changamoto.
Karne ya 21 mnakaa kujadili ujenzi wa mabweni? na kujiona magenius.

dah aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
PPP ni mkombozi
 
Hongera sana team
er
 
Kwa kazi hii Samia tayari ameshashinda
 
Unahoja
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
 
Sawa mkuu ila kama vyeo ni kifo mbona wanahangaika sana kusaka teuzi. Jana ulimuona yule mama alivyojigaragara chini kule kusini?
Jichanganye kwenye cheo chake wanakuroga hahaha
 
Hii ni kubwa sana
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Tujenge hata majela
 
Wangeongea kuhusu AJIRA, mabweni yanatusaidia nini?
 
Habari njema sana hii
 
Wameanza kujenga au story tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…