CBE yawapiga marufuku wasichana wanaosoma chuoni hapo kuvaa nguo zinazobana

CBE yawapiga marufuku wasichana wanaosoma chuoni hapo kuvaa nguo zinazobana

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,757
Reaction score
442
Kutoka na vitendo vya ngono kushamili chuo ya biashara CBE Dsm. Namatokeo mabaya wa wanafunzi wa kike . NImarufuku kuvaa suluari za mchina zinazobana na kuonyesha maumbile yake.

NImarufuku kuvaa siketi fupi .Nimarufuku kuvaa nguo inayobana mwili . Kazi hiyo wamepewa walinzi wagetini hakuna kupita kama umevaa tofauti na Tangazo hilo
 
Pia nimarufuku kuvaa vitopu vinavyoonyesha matiti . Walinzi hao waweambia ikibainika mwanachuo wa kike au mgeni wa kike kapita getini na kuvaa kinyume atawajibika
 
Hinasemekana hali hii ya wasichana kuvaa nguo kama wapo sokoni inawakela Walimu wazee japo vijana navishabikia kwa kuwageuza kama nguo wanachagua watakavyo kwa ninajili ya ngono.Ukipita ofisi za walimu vijana utakuta msululu wa wasichana kila mtu anashida zake
 
Ila kusema kweli kile chuo kina vichangu classic kibao! Vitapata shida kweli na hilo tangazo. Ila ni vizuri.
 
pia inasemekana wasichana wamekuwa akiandika CHABO kwenye mapaja yao kipindi cha mitihani Imekuwa ngumu kuwashika na chabo hizo kama ushahidi
 
pale nje vijana wamachinga wanafanya biashara ya kuuza magauni tofauti na awali walikuwa wanawauzia masuluari
 
inafurahisha ngoja waje watetezi wa haki za wanawake wakina Gaijin kuja kupinga....pale ni chuno na sio sehemu ya kuonyesha maungo yao.....napenda na maofisini ianze....
 
Ila kusema kweli kile chuo kina vichangu classic kibao! Vitapata shida kweli na hilo tangazo. Ila ni vizuri.

yaani hawa dada zetu wa siku hizi hakuna utofauti na madada poa. Huwezi kutofautisha kati ya mtu aliyekombolewa kifikra na mtu anayelazimisha kwa uzoefu wa wengine wanafanya nini. Hatuwakatai kuvaa nguo nzuri ila vaeni ziwasitiri bhana! Mnafanya mambo ambayo wanayowaletea hawayafanyi sababu ya ulimbukeni.
 
Nilipowauliza wavulana juu ya utaratibu mpya pale chuoni wa kuwazuiya wanafunzi wa kike kuvaa suluari nguo za kubana siketi fupi na brouzi zinazoonyesha matiti .Wavulana wanaunga mkono msimamo wa chuo kwani walikuwa wanapata wakati mugumu sana.Ilikuwa nivigumu kutofautisha wake za watu wanaosoma pale au kutofautisha namachangu pale Joy Club
 
inafurahisha ngoja waje watetezi wa haki za wanawake wakina Gaijin kuja kupinga....pale ni chuno na sio sehemu ya kuonyesha maungo yao.....napenda na maofisini ianze....[/QU kijana sasa pale kama system hii ya kinadada pale watanyooka . Ulikuwa unamkuta kavaa ngua kila anakopita siwalimu siwanafunzi wanageuka kwa kuangalia makalio jinsi yalivyo banwa
 
kwani mtu akivaa hivyo kuna uwezekano wa mimba sperms kushindwa kufanya kazi yake au ndo wankuwa sterile kwa muda? ngoja tuwasubirie wanaharakati.

Na hao walinzi wana standard measure yoyote kfanikisha zoezi hilo.
 
Big up CBE ingawa its too late kutangaza uamuzi kama huo!
Yaani CBE nilishaipotezeaga kupeleka pale ndugu yangu kitambo,kwa mabiniti ni kama wako kwa showroom!
 
walitakiwa kutoa semina ya nguvu wanebadilika kichwani.
 
Haya bana kama wameamua hivyo, lakini ilikuwa burudani!!![/QU Tatizo kubwa kwa wasichana na kushindwa kutofautisha nguo zipi zinavaliwa usiku zipi zinavalia night club au zipi wavae wanapokuwa ofisini
 
walinzi wao kipimo kuonekana nguo ulizo vyaa zinaonyesha maumbile yako .
 
Back
Top Bottom